Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Mungu keshapokea maombi yetu wana ukawa. Sasa anatuonyesha keshaanza kuisambaratisa ccm iliyo kandamiza haki za watanzania kwa miaka mingi sana.Magu ni kama farao Bwana mungu sasa anamsmbaratisha.kuwa na roho ngumu .asishaurike hiyo yote kafanywa na mungu ili ccm isambaratikr.
Akili yako ndiyo imesambaratika ndio maana haiwez hata kufikiria na kukupa cha kuandika kwa faida yako..
 
Angalia kauli zako, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa ulimwengu..mtu aliyelelewa vyema anajua lugha na maneno ya kusema mbele za watu..haya uliyosema ni maneno ya chokoraa aliyekulia jalalani!
Unasema kama nani?
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mimi nafikiri Nape alishaikabidhi report toka jana, tena yawezeka kakabidhi kwa PM & VP tu, maana tayari alikuwa anajua msimamo wa raisi. Pia nafikiri toka jana Nape alikuwa anajua kuwa siku zake kama waziri zinafikia mwisho. Kama alishakabithi report lazima hatimaye itafanyiwa kazi. Anayejua kuwa report ilikuwa haijakabidhiwa kwa wakubwa za athibitishe tujua kuwa kazi yote iliyofanyika katika masaa 48 plus yaliyopita ilikuwa ni bure!
 
Mungu yupo pamoja nawe Nape maana umetumbuliwa kwa heshima uloyoifanya sio kwa aibu
Tena sana... na nimefurahi hakutoka mwenyewe ingawaje alionesha dalili zote za kuchoka!! Akaamua kubaki ili atumbuliwe na hatimae kufanikiwa kuonesha sura halisi ya Mfalme!!!
 
Hiyo lipoti akampe mjomba ake membe sasa,maana magu haitaki hata kuisikia.huwezi waziri ukaivua nguo serikali Unayoiongoza.
Alipaswa nape kumwita makonda na kumwambia ukweli juu ya busara za kuongoza wananchi.nasiyo kukimbilia kwenye vyombo vya habari just ndana na makonda

Mtazamo wangu unaonyesha majina Yale ya makonda kabla hajayataja yalipata Baraka zote kutoka ikulu,hili la kuvamia redio nape alipaswa kuwa wa kwanza kumwita makonda kwanza na kuyaongea kisha angefika kwenye vyombo vya Habari
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
problem-trollface.png
Angalia kauli zako, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa ulimwengu..mtu aliyelelewa vyema anajua lugha na maneno ya kusema mbele za watu..haya uliyosema ni maneno ya chokoraa aliyekulia jalalani!
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ujumbe wa ripoti uliwafikia mapema tu.
Bado raia mnaamini ktk uongozi wa taifa hili?
 
Kikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
MWISHO. JIONGEZENI
Hapa hakuna vita ya dawa za kulevya, bali kuna visa na visasi ingalikuwa ni vita ya dawa hizo kweli, bidhaa hizo sisingalikuwa sokoni hata sasa. Fanya utafiti kidogo tu, wahoji baadhi ya mateja,(chondechonde usije tumia akili za pombe, hakika watakumeaga ubongo.)utabaini kuwa bidhaa hizo zipo bwereree kuliko ilivyo kuwa hapo mwanzo.
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Huo wizi alishindwa kukuambia Lowassa na Sumaye leo unautarajia kwa Nape..tumia akili yako vzr kijana.
...wezi na wanafiki wakuu nyie....oh viwanda...mara oh hapa kazi tu!!...mmewafanya watanzania mazuzu....mwisho wenu umeanza....matapeli nyie....
 
Hatimae bao la mkono lapigwa golini mwa Nape
 
...wezi na wanafiki wakuu nyie....oh viwanda...mara oh hapa kazi tu!!...mmewafanya watanzania mazuzu....mwisho wenu umeanza....matapeli nyie....
Utaimba hayo hayo kila cku , wezi, wanafiki, mazuzu..mwisho wa safari workdone equals to ZERO!
 
Nape tumekusamehe kwa yote kwasababu sizonje alikiri kwamba wewe hauhusiki bunge live yeye ndio alitoa amri Hongera kwa kuwa shujaa hao wafu acha wazikane wenyewe [HASHTAG]#msitupangie[/HASHTAG] wa kumchagua#2020 # nape mzalendo nape shujaa Tanzania kwanza
 
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.

Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.

Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.

Mwafaaaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Sifa za kijin.ga. uwaziri sio msemaje qa serikali. Hajasoma upepo. Wauza unga wameamua kupambana na serikali kupitia nape. Imekula kwao
 
Nape amekitendea haki kiapo chake, kuilinda na kuitete katiba ya tz, huyu mwingine acha ajishebedue tu huko jumba jeupe, wangapi wametoka hapo sasa wako peace kabisa, .acha ale sumu ya panya akisubiri panya afe.
 
Back
Top Bottom