...work done mnayofanya kwenye utawala wenu dhalimu ndio equals to ZERO...mtajibu mmewafanyia nini watanzania 2020...maana upofu na utapeli umewajaa....Utaimba hayo hayo kila cku , wezi, wanafiki, mazuzu..mwisho wa safari workdone equals to ZERO!
Nikitoka, mtapataje mambo ya huku?
Mzee Tupatupa
Ni juha na mpu.mba.vu tu anaweza anza kufikiria ya 2020.....work done mnayofanya kwenye utawala wenu dhalimu ndio equals to ZERO...mtajibu mmewafanyia nini watanzania 2020...maana upofu na utapeli umewajaa....
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia!!! Kipi kibaya alichokifanya Nape!!! Sometime Ukiwa Ccm Unakuwa kama chizi lolote lile utachekea tu.Hiyo lipoti akampe mjomba ake membe sasa,maana magu haitaki hata kuisikia.huwezi waziri ukaivua nguo serikali Unayoiongoza.
Alipaswa nape kumwita makonda na kumwambia ukweli juu ya busara za kuongoza wananchi.nasiyo kukimbilia kwenye vyombo vya habari just ndana na makonda
Mtazamo wangu unaonyesha majina Yale ya makonda kabla hajayataja yalipata Baraka zote kutoka ikulu,hili la kuvamia redio nape alipaswa kuwa wa kwanza kumwita makonda kwanza na kuyaongea kisha angefika kwenye vyombo vya Habari
Wewe ni mjinga..nchi hii is full of foolish people! unawaza uchaguzi ulishapita matokeo yakasomwa kiongozi akaapishwa akiwemo Nape wako huyo huyo..fikirieni mambo ya maana japo kwa saa moja mjiletee maendeleo.

Taarifa zikitoka ikulu kama ametumbuliwa tunaambiwa atatafutiwa kazi nyingine, mbona ya nape hiyo kauli hakuna? Inamaana nape kamwambia mtakatifu sitaki kufanya kazi na wewe.Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ni **** na mpu.mba.vu tu anaweza anza kufikiria ya 2020..
Wenye akili wajiongezeKikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
MWISHO. JIONGEZENI
Kinana mbona ana nidhamu kwa mwenyekiti wake..ye anadhani jpm ni lowasa??sisi sio wanaccm ila kwa sasa tunaangalia maendeleo ya nchi..sio bashite..mara clouds.. Mara imerudi..hayo tulishayafanya kwenye utawala wa jkKwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Asee..kazi ipo....
....we cho.ko huwezi kufikiria ya 2020 kwa kuwa unawaza mwisho wa tumbo lako....wenzako tunawaza next millenium we 2020 unaona mbali! ndio maana mmebaki kudanganya umma na tamthilia zenu za hapa kazi tu na viwanda....hamuwezi kufikiria 2020 kwa kuwa mmejaa upofu na mnashiba sasa kwa dhulma yenu.....
Naongezea mara brand..Kinana mbona ana nidhamu kwa mwenyekiti wake..ye anadhani jpm ni lowasa??sisi sio wanaccm ila kwa sasa tunaangalia maendeleo ya nchi..sio bashite..mara clouds.. Mara imerudi..hayo tulishayafanya kwenye utawala wa jk
Kwa 'kutumbuliwa' kwa aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ni dhahiri kumzuia asiikabidhi Ripoti ya Kamati Maalum ya kuchunguza uvamizi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda. Ni kwakuwa Nape aliahidi wananchi kuwa ataikabidhi Ripoti hiyo, akiwa kama Waziri, kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na kwa Rais.
Mdogo wangu Nape Nnauye, historia itakulinda. Umetekeleza wajibu wako. Ujumbe uliopo kwenye Ripoti walishaupata. Ujumbe ulishawafikia. Anayelindwa na anayewindwa wote watakatazwa na muda. Muda utaamua. Nape, umeponzwa na kuwa 'kiongozi'. Ulipaswa kuwa mtawala. Pole.
Kwa kazi kubwa uliyoifanya na Komredi Kinana, hukupaswa 'kutumbuliwa' kirahisi hivyo. Unatumbuliwa kwa kutenda kazi yako? Kisa ndiye huyu DAB alias PCM? Inasikitisha. Lakini, yote ni maisha. Kubali kilichotokea na uwatumikie wananchi wako wa Mtama. Nasema tena, amini nawaambia, Nape atalindwa na historia katika kutetea tasnia ya habari.
Mwafaaaaa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mungu husikiliza maombi hata ya mtu mmoja tu mwenye haki na akaacha kusikiliza ya mamilioni wabinafsi ukiwemo wewe..uongozi si lazima ukufanye wewe unufaike, s lazima..kaombe laana itasikiwa.Taarifa zikitoka ikulu kama ametumbuliwa tunaambiwa atatafutiwa kazi nyingine, mbona ya nape hiyo kauli hakuna? Inamaana nape kamwambia mtakatifu sitaki kufanya kazi na wewe.
Kwa hali hii nilishasema kumwombea inabidi uwe na mungu wa kishetani. Siwezi kupiga goti kumwombea huyu mtu. Labda aseme huyo mungu wake ni yupi