Mkuu siku nyingine picha zenye kutia kichefuchefu kama hizo uwe unabandika usiku wa manane...wengine bado hatujala...
Nimeshikitishwa sana na hizo picha za mabasi. Siku ile ya mkutano wa CDM watu tulitoka mikoa jirani kwa nauli zetu lakini CCM imeona mtaji wao ni dhiki ya watu wa Mabwepande? Eee Mungu mwenye enzi okoa Tanzania.
Kafanya mchezo kama ule tunaona kwenye mikutano ya injili VIPOFU KUONA,VILEMA KUTEMBEA ndicho nape alichofanya jana!kwa usawa huu wa mchele kilo sh 3000 nani ataipenda ccm?
[/QUOTE]Siku nyingi nimekuwa najiuliza, hivi chama hivi sasa hakina mtu wa mikakati na propaganda??, nasema hivi kwa sababu, hatua ambayo CCM wanafanya ya kutaka kujibu MAPIGO kila CDM wanapofanya shughuli zao, inaonyesha kwa kiasi kikubwa anakosa kina. ni cheap kwa kushangaza. Napenda kuwauliza walioandaa mkutano huu wa juzi, kwa nini walikurupuka? kwa nini wametumia agenda ya kupambana na Chadema? lakini kubwa zaidi ni hili la kukusanya kadi feki. Hii inanikumbusha kisa cha mbuni na kuficha kichwa wakati mwili wote uko nje. CCM nawashauri kubadilisha mikakati na hasa kutumia wataalaumu wanaoweza kusoma mazingira/hali na kuitafsiri katika mkakati]
Nimeshindwa kuelewa kama chama kikongwe kama CCM wanaweza fanya upuuzi wa kiwango hiki cha kuwabambika watu wenye kadi mpya na nyingi hazijaandikwa chochote kabisa eti ionekane wanachama wa vyama vya upinzani wamerudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.
Picha hii ambayo ipo pia kwenye blog ya bwana michuzi inadhihirisha uhuni waliofanya kuwahadaa Watanzania.
View attachment 56011
Ni kweli mkuu pia walitengenezesha nyingine ndio maana Nape alitaka zichomwe lakini kinana akakataa lakini hawezi kuzirudisha CDM wataumbuka
Kafanya mchezo kama ule tunaona kwenye mikutano ya injili VIPOFU KUONA,VILEMA KUTEMBEA ndicho nape alichofanya jana!kwa usawa huu wa mchele kilo sh 3000 nani ataipenda ccm?
Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
Amefanya kile hata Chadema wanafanya, maana nao huwa wananunua kadi za CCm ili kuonyesha uma kuwa wanaCCm wamerudisha kadi.
The unseen is illustrated by the seen.
waulizeni waliopitia kariakoo walizomewa balaaaaa ni kijani zao,halafu eti mkutani uliwahi kuisha ila wale waliofatwa morogoro wawahi kufika kwao.duh,bora kukosa pesa ukawa na akiri.nape nikilaza balaa.nani clasmte wake atupe historia??kinana ndo zoba kabisaaaaa,wasira yeye ni kichaa ametoroka milembe,alfu sikujua kama magufuli nae anakwashakoo ya mawazo.Kafanya mchezo kama ule tunaona kwenye mikutano ya injili VIPOFU KUONA,VILEMA KUTEMBEA ndicho nape alichofanya jana!kwa usawa huu wa mchele kilo sh 3000 nani ataipenda ccm?