Nape akutwa na majanga Iringa

Nape akutwa na majanga Iringa

Hii mikutano yao Nape na Kinana mbona uniform tuu ndio zimejaa? Hii inaonyesha watu waliokuja hapo ni wale wafuasi wao tuu hivyo hata akipiga kelele kuwa Msingwa aondolewe haisaidii maana hao bado ndio haohao waliomkataa Msigwa uchaguzi uliopita. Na hata idadi hiyo hairidhishi ukizingatia hapo alikuwepo Katibu mkuu wa Taifa na vikundi kadhaa vya burudani.
ImageUploadedByJamiiForums1413184838.405618.jpg
Ila ukiangalia mkutano huu wa Msingwa utagundua kuwa hapo lazima watu wa itikadi tofauti wakiwemo wa CCM wamo na ndio maana ya mkutano wa hadhara ili hata wale ambao hawakukubali ujinadi wakukubali. Idadi hiyo ya mchanganyiko wa aina hiyo na hakuna vikundi vya burudani inatia moyo kuwa Msigwa Iringa anaushawishi kuliko Kinana + Nape+ Burudani na hata wajivunje mikono ili kutafuta huruma hawataipata.
ImageUploadedByJamiiForums1413185158.937333.jpg
 
Jimbo hilo lilikuwa mikononi mwa CCM tangu uhuru kama mbunge ndio anaondoa kero ilikuwa Mh. Msigwa azikute hizo kero? Mbona wasinde kyela wakaongee jinsi mbunge wao alivyotekeleza ahadi? Mbona wasinde kigoma kuwakumbusha very soon wataanza ahadi ya kuifa kuwa dubai? Mbona wasimkumbushe Mh. Tibaijuka kubomoa majengo yote aliyoahidi kuyabomoa baada ya kupewa uwaziri wa ardhi? Mbona wasimkumbushe Riz one awaonyeshe mipaka ya wakulima na wafugaji maana aliahidi akipa tu ubunge kila mmja atajua mpaka wa eneo lake?
 
Huyu Nape kuna siku alimtukana DR. SLAA akamwambia amechoka, kazeeka amekuwa mlemavu wa mkono hana jipya! Kweli nimeamini malipo ni hapa hapa na yeye leo ameshika kipaza sauti na mkono wa kushoto? Aombe Mungu mkono ulemae uendelee kuwepo unaweza kukatwa kabisa, siasa zisitufanye kumkufueu Mungu.
 
Hivi kuna alie mchezea Mungu kama mwenyekiti wa bunge la katiba ya CCM bwana six ( maana hastahili kitwa MH.) unaongoza bunge batili la kuchakachua, kuweka kura za marehemu amabye Mungu alisha muondolea majukumu yake ya hapa duniani? Unatukana viongozi wadini? Unafungua bunge kwa Jina la Mungu wakati unaongea uongo? Nani amemchezea Mungu kiasi hicho. Usiwe kipofu kuona yampendezayo MUNGU umeambiwa usimtendee mwenzako usilotaka kutendewa.

Viongozi wa dini si mitume wala manabii na hawana uwezo wowoe wa kisiasa zaidi ya mawazo yao kama wananchi wa kawaida katika masuala ya kisiasa sasa wakijiingiza kulumbanana wanasiasa wanastahili kutukanwa kwani nao wanamdhalilisha mungu.
 
Nape unapofanya siasa kumbuka unayoongea,juzi ulisema katiba sio muhimu kwani katiba inatuletea maji au barabara!!leo unasema katiba imepita ni muhimu kwetu,usitake kutudanganya ukafikiri unaongea na wajinga mbao hawajui nini maana ya katiba ccm mmekamatwa pabaya na wewe kipindi hiki ndio mwisho wako kwenye siasa hakuna unachokifanya ni majungu yasiyo na maana tuu
 
Wewe endelea na programming ya ile editor yenu ya PHP, JAVA na C++ au imekushinda?
Haihusiani na chochote kinachoongelewa hapa. So ignored!

lakini hapa utatukanwa mpaka ujione hujui kitu
I don't care. Truth have been said and thats enough. Wanaotukana watukane tu, ila kuna siku watatoa hesabu ya maneno ya vinywa vyao!
 
Mkuu kula 100%, kweli kabisa Mungu wa chadema ni Mungu failure wa kila jambo.. Mungu aliyewapa wabunge 5 mwaka 2005, na mwaka 2010 kawapa wabunge zaidi ya 40, Mungu wao akashindwa kuwapa madiwani wengi kutoka 25 mwaka 2005, hadi madiwani zaidi ya 200, 2010 na kuwafelisha hata kushindwa kuongoza halmashauri, kama za Arusha.. etc

Mungu wao ni failure kabisa, hakuwasaidia kuipata arusha, mbeya, kawe, Mbeya, Mwanza, Musoma mjini, Iringa mjini,.. na yote yalikuwa majimbo ya chama cha Mungu wa mafanikio wa CCM,

Mungu wa chadema ni wa kushindwa tu, maana Mungu wa mafanikio wa CCM aliwaambia Chadema itakufa 2013 lakini Mungu wa Kufeli wa Chadema Mpaka leo..Ameicha Chadema

Mungu wa Kufeli kwa kila jambo wa Chadema hajawasaidia kushinda kesi za ugaidi, kesi za kuwa ni chama cha Kikabila na Kikanda.

Lakini Mkuu nikupe 5 kwa kuwa Mungu wa Chama chako ni Mungu wa Mafanikio kwa Kila jambo

Katika utawala wa JK tu, Mungu wenu amefanikishia kubadili baraza la mawaziri zaidi ya mara 4, Mungu wenu akawapigania 2010, mkapata kura 61% kutoka ushindi wa kishindo wa 2005, Lakini Mungu wenu ni wa mafanikio zaidi maana mko madarakani tangu 1961 mpaka leo, lakini bado hamuishi kuahidi, maisha bora kwa kila mtanzania.... Kasi mpya ari mpya, Mungu wenu kawasaidia kuondoa adui ujinga, maradhi na umaskini.. watanzania wanapaopata huduma ya umeme ni 17% tu ya watanzania wote.. Mungu wenu wa mafanikio amesaidia serikali yako kuongeza ajira, kupunguza rushwa, utumiaji wa madawa ya kulevya, kupambana na umaskini... Mungu wenu ni wa mafanikio maana aliwasaidia Mkamuua Mvungi, Imrani Kombe, Kolimba.. na zaidi ya yote kawasaidia kuuza viwanda vyote.. na vyote leo vinafanya kazi na vimetoa ajira milioni 30 kwa watanzania.. Hongereni sana na Mungu wenu...

Mungu wa chadema ni wa kushindwa kabisa kila jambo...

kimoyoni itawaingia mpaka akilini mwao ila watajifanya MAJUHA humu kujifanya hawaelewi ulichosema kwamba TULIANZA NA MUNGU TUKO NA MUNGU NA TUNAENDELEA KUWA NA MUNGU MPAKA KIELEWEKE MUNGU NI MMOJA TU. SASA kama wana MUNGU wao wanaemtegemea (SHEITWAAN) haya tutaona 2015
 
Viongozi wa dini si mitume wala manabii na hawana uwezo wowoe wa kisiasa zaidi ya mawazo yao kama wananchi wa kawaida katika masuala ya kisiasa sasa wakijiingiza kulumbanana wanasiasa wanastahili kutukanwa kwani nao wanamdhalilisha mungu.

na wewe ni mmojawao watukananaji.. tumekusoma
 
Angevunjika kiuno kabisa.
ha ha ha, hajaoa mwenzenu!!! cha msingi namshauri awe anachuja anaongea nini na wapi!! Tanzania hii ina wenyewe - kuropoka ropoka kutamponza kijana wa watu.
 
Hiyo ni laana iliyoanza kumfika kwa kuwatukana wazee kuwa wa ni marehemu watarajiwa.
 
nimependa sana hiyo MY TAKE yako , UHAKIKA NI KWAMBA MUNGU HATANIWI , HUYU HATA KAMA ASINGECHEZA SIKU HIYO JANGA HILO ANGELIPATA TU , KITAMBI NA SOKA WAPI NA WAPI BHANA !
 
Laana ya aliowatukana kuwa wanangoja kufa na kakono ka Dr Slaa,
 
Nape alianguka kwasababu ya laana ya kusema uwongo!
 
Mungu gani huyo kwenye Masanduku ya kura kila Uchaguzi kura hazitoshi, Mungu gani anaedai kuibiwa kura baada ya kushindwa " kuzilinda" aliepa kuandamana mpaka Bunge liahirishwe lakini akashindwa, Acheni kufananisha washerati wa akina Mukya na jina la Muumba wako na wangu

Dada mpe pole basi kwanza katibu mwenezi wako. Au unataka kuleta issue za hawa bustanini edeni baada ya kudanganywa na nyoka.?
 
Back
Top Bottom