Nape akutwa na majanga Iringa

Nape akutwa na majanga Iringa

Katibu Mwenezi gani wa chama tawala asiyeweza kufanya ziara mikoani peke yake mpaka apate mbeleko ya Kinana? Hicho cheo hakiwezi, na siku JK akitoka Ikulu nayeye akatafute kibarua kingine.

********************

Chuki binafsi tu izo. Labda aingie Lowassa ndo jamaa atang'oka maana amewahi kumharibia madili mengi ikiwemo udhabuni ktk jengo la UVCC makao makuu na Ufisadi mwingine. Nape haumi maneno. Anakuchamba tu .
 
Msigwa ni moja ya mbunge bora zaidi aliyepata tokea mkoan iringa...ameleta siasi bora na za ushinda na kuibana serikali vilivyo hasa katika upande wa maliasili.....kura yangu msigwa unayo hata leo.
 
Msigwa ni moja ya mbunge bora zaidi aliyepata tokea mkoan iringa...ameleta siasi bora na za ushinda na kuibana serikali vilivyo hasa katika upande wa maliasili.....kura yangu msigwa unayo hata leo.
Mungu akuepushe na vitu vyenye ncha kali .
 
....

katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Nape Nnauye apatwa na majanga mkoani Iringa baada ya kuanguka na kuteguka mkono wake wa kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya msafara wa Kinana na Veteran mjini Iringa.

Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.

3.%2BNape%2BIringa%2Bmjini.jpg

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)

Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .

Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.

note: Ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!
Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe au ni misleading.
Majanga ni a corrupted word linalotokana na janga.
Janga kwa kiswahili sanifu inakaribia na maafa, au msukosuko mkubwa wa kupelekea maafa.
Hiki ndo iswahili ninacho kielewa, sasa sijui mtoa mada majanga ya Nape ni yepi.
 
Msigwa Ukimtajia Jina la Nyalandu anaishia kukenua kenua! anatoa 3M kulipia Press Conference ya kumsifia Nyalandu wakati chama chake Mkoani hakina walau Printer ya laki 3!

raha ya tz ni kuwa majimbo yanayoongozwa na upinzani yapo hovyo sana ingawa yaliwahi kuongozwa na ccm, na yale yanayoongozwa na ccm yako poa kwa kila kitu si maji , afya , elimu na umeme yaani ni raha kuongozwa na ccm
 
Intelligent thinker is someone who thinks, learns, questions, observes, reasons, reflects and make the right decision.
 
Hzo za adhabu tu wanapata baada ya mungu kuwaona wanawarubuni wananchi,pole kwake alie uumia..so hasira znaenda kwa Msigwa?!
 
3.%2BNape%2BIringa%2Bmjini.jpg

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)

Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .

Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.
 
Hivi nape bado yuko kambi ya sitta au karudisha kajisalimisha kwa mamvi?
 
Alisema wazee wanasubiri kufa akajisahau yeye ni mwanadamu ambaye awezi kuona kesho, sasa kavunjika na wazee bado wanapeta....
 
Back
Top Bottom