Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Bora angekufa kabla ya kusababisha umwagaji damu kwa kuchakachua katiba
Mtoto huyu jamani, ngozi magamba matupu baada ya kutumia maji ya sumu toka kiwanda cha mwekezaji,mfadhili wa CCM.Aende wapi ili apate haki ya kufurahia maisha kama akina Ritz? Mimi na wewe tumsaidie vipi huyu dogo? Maskini watoto wa Tanzania! IPO SIKU...Siku zote Mungu husimamia ukweli !!!
![]()
Kwani kodi anakusanya Mchungaji Msigwa? au mmbunge anafanya nini zaidi ya kueleza shida za wananchi wake bungeni?
Nape anafikiria kwa kutumi ma-ka-lio ndiyo maana anasema wananchi hawana haja ya katiba kwani katiba haiwezi kuwajengea barabara wala kuwaletea wananchi maji. Huyu ni msomi wa Masters pale mzumbe....Sijui kwanini ameamua kukiabisha chuo alichosoma hivyo? kana kwamba hakufundishwa kitu chuoni.
​Kwahiyo suala na Nappe kupata ajali limekufurahisha? Mnona babu ana kamkono kananing'inia je tusemeje??
kama ni muhuni, kwa nini msiwaachie nafasi wananchi wenyewe kuamua? Ccm ni mafia!Pole Comrade! Lazima wananchi wa Iringa wasaidiwe kumuondoa Muhuni aliejipachika Vyeo vya Kiiamani
hata CCM wapo pia. Nadhani tusifanye siasa na Mungu. Huko ni kumkosea adabu kwa nafasi yake. CHADEMA na vyama vingine yawezekana kuna wachamungu wala sina tatizo na hili. Ila kukifanya chama cha siasa ni representative wa Mungu au Mungu.mwenyewe ni utovu wa nidhamu na ni dhambi!
Hiyo note yako ni uongo mtupu. Chadema ni chama cha siasa. Acheni kumkosea adabu Mungu ebo!
....
katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Nape Nnauye apatwa na majanga mkoani Iringa baada ya kuanguka na kuteguka mkono wake wa kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya msafara wa Kinana na Veteran mjini Iringa.
Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.
![]()
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)
Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .
Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.
note: Ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!
Wewe endelea na programming ya ile editor yenu ya PHP, JAVA na C++ au imekushinda? lakini hapa utatukanwa mpaka ujione hujui kituhata CCM wapo pia. Nadhani tusifanye siasa na Mungu. Huko ni kumkosea adabu kwa nafasi yake. CHADEMA na vyama vingine yawezekana kuna wachamungu wala sina tatizo na hili. Ila kukifanya chama cha siasa ni representative wa Mungu au Mungu.mwenyewe ni utovu wa nidhamu na ni dhambi!
Kwani kodi anakusanya Mchungaji Msigwa? au mmbunge anafanya nini zaidi ya kueleza shida za wananchi wake bungeni?
Nape anafikiria kwa kutumi ma-ka-lio ndiyo maana anasema wananchi hawana haja ya katiba kwani katiba haiwezi kuwajengea barabara wala kuwaletea wananchi maji. Huyu ni msomi wa Masters pale mzumbe....Sijui kwanini ameamua kukiabisha chuo alichosoma hivyo? kana kwamba hakufundishwa kitu chuoni.
Pole Comrade! Lazima wananchi wa Iringa wasaidiwe kumuondoa Muhuni aliejipachika Vyeo vya Kiiamani