Nape akutwa na majanga Iringa

Nape akutwa na majanga Iringa

....

katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Nape Nnauye apatwa na majanga mkoani Iringa baada ya kuanguka na kuteguka mkono wake wa kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya msafara wa Kinana na Veteran mjini Iringa.

Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.

3.%2BNape%2BIringa%2Bmjini.jpg

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)

Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .

Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.

note: Ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!

Siyo kipigo cha hawa jamaa?
 
Attachments

  • 1413144629476.jpg
    1413144629476.jpg
    58.8 KB · Views: 461
MUNGU SI WAKUCHEZEWA..ONA MAGAMBA YANAVYO AIBIKA..nape acha kumtukana mtumishi wa bwana mh msigwa....ona laana mpaka ameumia

Watumishi wa Bwana wapo makanisani wanachunga kondoo hao wengine matapeli tu....
 
Huyo mungu wa chadema ni mungu gani failure wa kila jambo?

Mkuu kula 100%, kweli kabisa Mungu wa chadema ni Mungu failure wa kila jambo.. Mungu aliyewapa wabunge 5 mwaka 2005, na mwaka 2010 kawapa wabunge zaidi ya 40, Mungu wao akashindwa kuwapa madiwani wengi kutoka 25 mwaka 2005, hadi madiwani zaidi ya 200, 2010 na kuwafelisha hata kushindwa kuongoza halmashauri, kama za Arusha.. etc

Mungu wao ni failure kabisa, hakuwasaidia kuipata arusha, mbeya, kawe, Mbeya, Mwanza, Musoma mjini, Iringa mjini,.. na yote yalikuwa majimbo ya chama cha Mungu wa mafanikio wa CCM,

Mungu wa chadema ni wa kushindwa tu, maana Mungu wa mafanikio wa CCM aliwaambia Chadema itakufa 2013 lakini Mungu wa Kufeli wa Chadema Mpaka leo..Ameicha Chadema

Mungu wa Kufeli kwa kila jambo wa Chadema hajawasaidia kushinda kesi za ugaidi, kesi za kuwa ni chama cha Kikabila na Kikanda.

Lakini Mkuu nikupe 5 kwa kuwa Mungu wa Chama chako ni Mungu wa Mafanikio kwa Kila jambo

Katika utawala wa JK tu, Mungu wenu amefanikishia kubadili baraza la mawaziri zaidi ya mara 4, Mungu wenu akawapigania 2010, mkapata kura 61% kutoka ushindi wa kishindo wa 2005, Lakini Mungu wenu ni wa mafanikio zaidi maana mko madarakani tangu 1961 mpaka leo, lakini bado hamuishi kuahidi, maisha bora kwa kila mtanzania.... Kasi mpya ari mpya, Mungu wenu kawasaidia kuondoa adui ujinga, maradhi na umaskini.. watanzania wanapaopata huduma ya umeme ni 17% tu ya watanzania wote.. Mungu wenu wa mafanikio amesaidia serikali yako kuongeza ajira, kupunguza rushwa, utumiaji wa madawa ya kulevya, kupambana na umaskini... Mungu wenu ni wa mafanikio maana aliwasaidia Mkamuua Mvungi, Imrani Kombe, Kolimba.. na zaidi ya yote kawasaidia kuuza viwanda vyote.. na vyote leo vinafanya kazi na vimetoa ajira milioni 30 kwa watanzania.. Hongereni sana na Mungu wenu...

Mungu wa chadema ni wa kushindwa kabisa kila jambo...
 
Mungu gani huyo kwenye Masanduku ya kura kila Uchaguzi kura hazitoshi, Mungu gani anaedai kuibiwa kura baada ya kushindwa " kuzilinda" aliepa kuandamana mpaka Bunge liahirishwe lakini akashindwa, Acheni kufananisha washerati wa akina Mukya na jina la Muumba wako na wangu[/

QUOTE]
Nasikia we bidada unapenda sana sherehe za mbio za mwenge. Mzima kweli wewe.!
 
....

katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Nape Nnauye apatwa na majanga mkoani Iringa baada ya kuanguka na kuteguka mkono wake wa kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya msafara wa Kinana na Veteran mjini Iringa.

Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.

3.%2BNape%2BIringa%2Bmjini.jpg

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)

Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .

Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.

note: Ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!
ungekufa ingelikuwa la maana sana
 
msigwa ukimtajia jina la nyalandu anaishia kukenua kenua! Anatoa 3m kulipia press conference ya kumsifia nyalandu wakati chama chake mkoani hakina walau printer ya laki 3!

salome kumbe nawe ni mpuuzi, kama sisiemu ilivyo?? Kwanini umekubali kuwa mpuuzi hivyo salome??

Maana kinana leo kasema "sisi ccm ni wapuuzi, chama kina nuka rushwa, na chadema ni maarufu" ova.
 
CHADEMA acheni kukufuru!

Sorry Buchanan nawewe ni Mpuuzi kama CCM ilivyo.. hata siamini mkuu

Sisi CCM ni Wapuuzi, chama Kina nuka Rushwa na Chadema ni maarufu-By Kinana. Ova
 
Back
Top Bottom