Mwaka huu na ujao mtaanguka sana
Ninamashaka na hawa jamaa huwa wanatoana kafara lakuanguka nini?.
Mwaka huu na ujao mtaanguka sana
hata CCM wapo pia. Nadhani tusifanye siasa na Mungu. Huko ni kumkosea adabu kwa nafasi yake. CHADEMA na vyama vingine yawezekana kuna wachamungu wala sina tatizo na hili. Ila kukifanya chama cha siasa ni representative wa Mungu au Mungu.mwenyewe ni utovu wa nidhamu na ni dhambi!
Nape hakuwahi kuingia darasani Mzumbe alienda kuchukua cheti tu. Aliyeandika tasnifu yake mbona anafahamika.Kwani kodi anakusanya Mchungaji Msigwa? au mmbunge anafanya nini zaidi ya kueleza shida za wananchi wake bungeni?
Nape anafikiria kwa kutumi ma-ka-lio ndiyo maana anasema wananchi hawana haja ya katiba kwani katiba haiwezi kuwajengea barabara wala kuwaletea wananchi maji. Huyu ni msomi wa Masters pale mzumbe....Sijui kwanini ameamua kukiabisha chuo alichosoma hivyo? kana kwamba hakufundishwa kitu chuoni.