Nape akutwa na majanga Iringa

Nape akutwa na majanga Iringa

4.jpg

mkuu #nape #nauye haya ndio malupu lupu ya kujenga chama sehemu ambazo upinzani una nguvu mkuu , na ndio maana mimi mwenzio Mwigulu chemba toka ninusulike kule Igunga kwenye mtindi mkali niko makini sana .
 
Huyu si alikuwa anamwiita dr slaa kakono sasa yeye atakuwa kiwete
 
....

katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) Taifa Nape Nnauye apatwa na majanga mkoani Iringa baada ya kuanguka na kuteguka mkono wake wa kulia wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu ya msafara wa Kinana na Veteran mjini Iringa.

Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo na hivyo kulazimika kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi.


3.%2BNape%2BIringa%2Bmjini.jpg

4.jpg

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini hapa Nape ambae alikuwa amefungwa mkono wake alisema amepatwa na tatizo hilo leo asubuhi baada ya kuanguka uwanjani japo mbali ya kuanguka alisema hajaweza kuacha kupanda jukwaani kuwaeleza wananchi wa Iringa mjini juu ya mbunge wao mchungaji Peter Msigwa( Chadema)

Kwani alisema ni lazima mbunge Msigwa aondoke katika jimbo hilo baada ya kushindwa kuwatumikia vema wananchi wa jimbo hilo na kuendelea kuwaletea mabalaa mbali mbali .

Nape pia ametumia nafasi hiyo kutaja ahadi lukuki za mbunge Msigwa ambazo alipata kuwaahidi wananchi pasipo kuzitekeleza katika jimbo hilo.


note: Ukipambana na Chadema unapambana na Mungu !!!

safi sana hongera kamanda msigwa kwa kujenga chama hadi magamba wanaumia ovyo
 
Mungu gani huyo kwenye Masanduku ya kura kila Uchaguzi kura hazitoshi, Mungu gani anaedai kuibiwa kura baada ya kushindwa " kuzilinda" aliepa kuandamana mpaka Bunge liahirishwe lakini akashindwa, Acheni kufananisha washerati wa akina Mukya na jina la Muumba wako na wangu
" If Obama wants me to allow Gay Marriage in Zimbabwe I should marry him first to show good example"-Robert Mugabe.kWA POST HII I CAN RATE you,Labda huyu ndio Mungu wako.
 
Back
Top Bottom