Nape akutwa na majanga Iringa

Nape akutwa na majanga Iringa

4.jpg

Pole zake, ila huo mwili haoufai kwa kijana anaejitambua.

Huwezi kunenepeana kama mtu asiekuwa na majukumu.

Kijana wa kileo?
Tena muenezi wa chama tawala?
No.
 
Pole zake, ila huo mwili haoufai kwa kijana anaejitambua.

Huwezi kunenepeana kama mtu asiekuwa na majukumu.

Kijana wa kileo?
Tena muenezi wa chama tawala?
No.
Dogo anafukia kweli menu. Hapo BMI >30. Magonjwa mfumo wa damu,DM+mishipa ya fahamu ndo mahali pake. Asubiri kuchapiwa dem,maana erectile dysfunction ni nyumbani kwake.
 
Hapo Mwigulu ana mwombea au ? Naye kazidi kujinenepea apunguze kula ovyo na afanye mazoezi ugua pole upone haraka uendelee na majukumu yako
 
Dogo anafukia kweli menu. Hapo BMI >30. Magonjwa mfumo wa damu,DM+mishipa ya fahamu ndo mahali pake. Asubiri kuchapiwa dem,maana erectile dysfunction ni nyumbani kwake.
bato, bmi ya nape haiwezi kuwa >30 hasa ukitezama urefu wake.Namwona kama uzito wake unaendana na urefu wake.
(Nasema hivyo kwa kumtazama tu, sijampima!)
 
Last edited by a moderator:
Alisema wazee wanasubiri kufa akajisahau yeye ni mwanadamu ambaye awezi kuona kesho, sasa kavunjika na wazee bado wanapeta....

Kuwatukana wazee ni laani ,siku nyingine atakujatumbukia chooni akifanya mchezo!! Yeye anafikiri siasa ndio kila kitu, sio hivyo dunia ni watu ambao wanahitaji kuheshimiwa!!
 
tusipeane pole za kinafiki ukweli ni dawa
ukipanda maindi huwezi kuvuna bangi kila mtu atilipwa alicho panda hapa hapa duniani
 
Pole zake, ila huo mwili haoufai kwa kijana anaejitambua.

Huwezi kunenepeana kama mtu asiekuwa na majukumu.

Kijana wa kileo?
Tena muenezi wa chama tawala?
No.
.
Jamaa anaonyesha anakula hovyo kama John Komba.
Na kweli masikini akipata lazima achangamke haswa.
 
Pole zake, ila huo mwili haoufai kwa kijana anaejitambua.

Huwezi kunenepeana kama mtu asiekuwa na majukumu.

Kijana wa kileo?
Tena muenezi wa chama tawala?
No.

Dogo anafukia kweli menu. Hapo BMI >30. Magonjwa mfumo wa damu,DM+mishipa ya fahamu ndo mahali pake. Asubiri kuchapiwa dem,maana erectile dysfunction ni nyumbani kwake.

Hapo Mwigulu ana mwombea au ? Naye kazidi kujinenepea apunguze kula ovyo na afanye mazoezi ugua pole upone haraka uendelee na majukumu yako
Aache kula wakati ndiyo zake! We wana-ccm wenzake wote wakati wa msosi huwa wanamshangaa cheki hapa kwenye picha wanavyofukia lakini Kinana na wazee wenzake wanamshangaa dogo alivyong'ang'ania sahali la ubwabwa!
Harakati za chama Tawala.jpg
 
Ndo atambue kuwa hata yeye ni binadamu kama sisi na sio robot,pole kwake lakini pia akome kuropoka uchafu kama hapigi mswaki.
 
kiazi sana yule jamaa, malipo yote n hapahapa. afu nahc atakua hua anakunywa mayai mabich kabla ya kuhutubia
 
Alimdhihaki sana Dr slaa.
Naomba Mungu aendelee kumkumbusha ukielema hautafutwi na hauombwi
 
Back
Top Bottom