Hebu tupe ushahidi kwa kuorodhesha sekretariate nzima ya chadema pale makao makuu na makabila yao, unaonekana wewe ndo mkabila sana kwani mtazamo wako upo kwenye ukabila bila kujali other factors, sisi hatuwezi kwenda kuchunguza wakati wewe ndo unao ukweli majina kamili na makabila yao, ulivyo andika hiyo comment yako authoritatively inawezekana umefanya utafiti hivyo tungefurahi kama ungetuthibitishia hiyo propaganda yako,
TRA wamejaa wachaga vile vile, nadhani according to you tunaweza ku conclude kuwa ni ukabila si ndio bwana, fanya utafiti mzee usi generalize huo upuuzi
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.
Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!

Ana wa alienate Wachaga ndani ya CCM, kweli kabisa. Kwa hiyo tayari kuna wana CCM washaanza kumdharau, na ile heshima yake kwa wale anaowaongoza inapungua, yeye hilo halielewi.
Mimi ni CCM LAKINI huu ujinga wa kutaja kabila fulani kwa ajili ya chama fulani ni mamboo amabayo watanzania wenye akili timamu wanatakiwa kupiga vita hata kama ni CCM au CDM .Nape tafuta wimbo mwingine mabao ya ukabila hayatakisaidia chama hata kidogo kumbuka kwamba hata sisi CCM tuna tatizo ambolo ni la msingi pia mfano swala la kujivua gamba unamtoa baba kwenye secretariet unamchomeka mtoto hata wewe pia ni zao la kada wa CCM JE watzania wakiuliza kuwa kuna usultani ccm utakjibu nininape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.
Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
Hebu tupe ushahidi kwa kuorodhesha sekretariate nzima ya chadema pale makao makuu na makabila yao, unaonekana wewe ndo mkabila sana kwani mtazamo wako upo kwenye ukabila bila kujali other factors, sisi hatuwezi kwenda kuchunguza wakati wewe ndo unao ukweli majina kamili na makabila yao, ulivyo andika hiyo comment yako authoritatively inawezekana umefanya utafiti hivyo tungefurahi kama ungetuthibitishia hiyo propaganda yako,
TRA wamejaa wachaga vile vile, nadhani according to you tunaweza ku conclude kuwa ni ukabila si ndio bwana, fanya utafiti mzee usi generalize huo upuuzi
Kama umekurupuka vile.
Nadshani bandiko lilikuwa linathibitisha kuwa hakuna ukabila CHADEMA.
Sekretariati ya CHADEMA
Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz
Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz
Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz
Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz
Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz
Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz
Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro
Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz
Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz
Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara
JOIN DATE 28/04/11. Karibu Jamvini!
nape ni mpambanaji haswa, cdm mlizoea kumnyanyasa wagosi wa kaya "makamba na tambwe hiza" hizi ni zama za kujibu mapigo.
Mapigo ya nape ni makali kiasi ambacho cdm wameona majibu kutoa slaa na mbowe hayatoshi hivyo komu, marandu na safari nao wakaingia uwanjani kumjibu nape. Ccm tupo mkao wa kula, upele umepata mkunaji, dawa ya makombora ya cdm imepatikana!!
mzee nadhani hujanielewa, nilikuwa namjibu mafilili aliyedai twende kuchunguza makao makuu ya chadema kuwa wamejaa wachaga, mimi sikubaliani nae, read my comment well utagundua nilimlenga nani, but nilikosea kumjibu sikonge na nimemwomba radhi
dogo credibilit y yake inashuka kwa speed ya ajabu, point na hoja zimemuishia anaanza kubwabwaja
Hahahahahahaha... Mbona CDM inawa-alienate waislamu more than 50% of country population na hamjali kitu! Seuze hao wachaga wachache!
ccm hawakuwa na mtu makini wa kujibu hoja za Cdm sasa wamempata
Mimi ni mmoja wapo ya wana CCM damu watakaomdharau huyu Nape anataka kupeleka nchi kusiko na hat nyie CDM onyesheni huo usltani uliyoko kwenye chama chetu msiogope huu upuuzi wa huyu Nape ni afadhali Tambwe hizo pamoja na kuwa na kisomo kidogo huwezi kumfananisha na huyu Nape kwa upeo hata kidogoHahahahahahaha... Mbona CDM inawa-alienate waislamu more than 50% of country population na hamjali kitu! Seuze hao wachaga wachache!
Inawezekana kabisa nape ndio Malaria sugu .... haya ya chama cha uchaga ni very low aisee,dogo credibilit y yake inashuka kwa speed ya ajabu, point na hoja zimemuishia anaanza kubwabwaja