Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

Nape aja na Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

Tangu lini Nape aishiwe tuhuma dhidi ya CHADEMA wakati analipwa kupitia tuhuma, Mwenyekiti wake ndiye Amiri jeshi mkuu kwanini hamwambii ili wahusika wachukuliwe hatua? Anapiga domo ili kuwatisha wananchi wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kwa shutuma za uongo na porojo za kipuuzi zinazodhalilisha vyombo vya usalama.Hivi walimpaje cheo huyu?
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Nape amekuwa msemaji wa Intelijensia ya Polisi...

Ama Nape ndio intelijensia yenyewe?
 
Kuna siku moja nikiwa chuoni pale UDSM nilisikia kada muumini mmoja wa CHASO akisema kuwa yeye ni chadema damu, lakini mbinu wanazoziandaa za kuwahandaa watanzania zinaweza kuhatarisha amani ya nchi. Inawezekana mbinu zenyewe ndo hizi nini? ee mungu tuepushe na balaa hili.

Kweli unatia huruma hivi katika maandamano ya Chadema wewe kama msomi nani anaua raia??Hapa ondoa mambo ya siasa na ushabiki usio na maana nani kauwa raia Arusha,Morogoro na Iringa??Hapa huhitaji Master au kuwa msomi.Je kama mikutano na maandamano ya Chadema italindwa vizuri na Police wasiingilie na kuripua mabomu na risasi za moto kweli kutatokea mauaji?Je maandamano na mikutano iliyofanya na Chadema pasipo kuingiliwa na Police kulitokea vifo???Kwenye picha ya mauaji ya mwandishi wa habari uliwaona wanachama wa Chadema wakimshambulia Daud Mwangosi???Mbona tunapenda kudanganyana bana,Hii habari ya Nape mbona atakuwa ameongelea chama chake CCM kwani wao si ndio wanatumia Police kukandamiza Demokrasia au Nape anataka kuwaona wananchi wajinga?Kama Chadema ndio wanang'oa watu kucha na kuuwa waandishi wa habari kwa nini wasiwakamate wakati wanawafahamu nkuwa ndio wauaji?Mbona Dr Ulimboko alimtaja ofisa wa Ikulu na hadi leo hajahojiwa pia Dr Ulimboka mwenyewe hajahojiwa hapa kuna nini?Je serikali na vyombo vyake vya dola inawalinda Chadema??Amka/amkeni Watanzania CCM inawahadaa kila kukicha na nyie mnazidi kulala ooh!!Poor Tanzanian
 
Hizo ni njama za CCM wenyewe.... hapo unatangaza mpango wenu
Kama Chadema ni genge la watu basi CCM ni kundi la watu wenye kuinyonya nchi.
 
CHEO CHA NAPE NI PROPAGANDA HIVYO YUPO KAZINI...MNG'OA KUCHA NA MENO SI WALISEMA NI BENARD MEMBE. AU Wanataka wafanye vise versa kipropaganda...nikiona neno nape huwa napta cz najua kazi yake ni propaganda
 
Watafanya hila zote za dunia zitakwisha tu na kiama chaja juu yao wote mlowang`oa meno,macho na kucha watasimama juu yenu hamtakwepa na propaganda uchwara,tunasubiri mazishi rasmi ya chichiem 2015,nape umefanya booking ya msondo ngoma??
 
Nape na CCM yako hamna jipya. Msitegemee tena kuongoza 2015. Upo wapi ushahidi wa Mbinguni alioutoa Mwigulu Nchemba?. Chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee. CCM wajinyonge
 
CHADEMA wana mbinu za hatari sana zenye kuhatarisha amani na usalama wa nchi, wanadhani upuuzi wao huu utawapa tu umaarufu? hii ni dhambi ya mauaji ya kukusudia, kamwe haipotei. CHADEMA kumbukeni malipo ni hapa hapa duniani kabla ya kwenda kutiwa moto wa kudumu kwa dhambi zenu hizi.

Baada ya tuhuma hizi kupita bila mafanikio mtakuja na zipi tena? Ukanda,Udini umeishia wapi? Inasikitisha sana mnavyotumia uzandiki ili mpate sababu za kutumia dola kuua raia,duu maCCM kama serikali ya marehemu Mobutu wa iliyokua Zaire.
 
Propaganda za kwenye nepi hizo! Siasa haziwezi kuwa hivyo!

hawa sisiem hawana jipya, kama chama kisicho na dora kinaweza kupanga mauaji means kwamba jeshi la polisi halina nguvu ya kulinda raia wake na liko kwa ajili ya maslahi ya viongozi tu, nape acha kuivua nguo serikali unayoitumikia, na usipotoshe wananchi kwa manufaa yako mwenyewe
 
Wanasiasa na sarakasi zao. Hivi kuna watanzania wanayaamini haya? Maana yanatoka kila upande. Bahati mbaya watu wanakufa na kulipeleka taifa katika mwelekeo wa ajabu.
 
CCM inachanganyikiwa na CDM...huku uswazi tunasema CCM wamevurugwa...kwa sababu wanarudia mipang na mambo yale yale...badala ya kuyaacha nyuma na kusonga mbele...KWELI CCM WAMEVURUGWA SASA HIVI...
 
nepi nepi nepi nepi,,kinena kinena kinena kinena,,,nd0 nini hawa temb0
 
Chama kilichotayari hata kutoa uhai wa watu ili kuingia madarakani ni kibaya na hakipaswi kupewa nafasi ya kushika madaraka kwani kuna uwezekano wa kuwaua watanzania wengi watakaokuwa kinyume na chama endapo kitakuwa madarakani.
 
Kuna baadhi ya watu wanaleta mzaha kwenye mambo ya msingi. Pakinuka ndio inaanza majuto.
 
Chanzo chenyewe cha habari yenyewe utata mtupu.Mbona waliizushia chadema na Lwakatare lakini hadi sasa wanahaha jinsi ya kujinasua?Magamba bana?
 
Du kama maneno yenyewe ni ya nape wala sichangii maana akili za nape kwanza za kimirembemirembe
 
Ifike mahali sasa CHADEMA wafungue kesi mahakamani dhidi Nape athibitishe tuhuma hizi. Hawezekani mtu azunguke nchi nzima anahubiri siasa za chuki aachwe tu eti Watanzania wa sasa si wa miaka 47. This issue is very serious. Nilimwona akiwa anahutubia hadi nilishikwa na hasira. Please CHADEMA don't take this for granted. Kuna Watanzania wengi tu ambao bado wanaweza kupotoshwa na hizi kauli za watu walioshiwa sera.
 
Asante kwa taarifa @Nape hakika Chadema ni janga la Taifa.


Chama ambacho hakina hata dola,kinapanga kuua polisi na raia wenye serikali yao na dola huku hao wenye serikali ba dola wakiwa na taarifa za hao viongozi wa chama ambacho hakina dola juu ya mipango yao.
Kwa kifupi tu hapo wananchi wajue hawana serikali wala dola. Wangekuwa na serikali yenye dola basi wangewakamata hao watu. Kweli "this government is importent"
 
Nape bana....Chadema wanashirikiana na polisi kuua wananchi.

attachment.php
attachment.php
 
Back
Top Bottom