Nape adai kunasa nyaraka za Marando

Hizi ni porojo tu, kama anaamini ana ushahidi wa Marando kukana hilo na wakati huo Nape akijua kuwa Marando alimchafua, kwani nini hasiende MAHAKAMANI kwa kuchafuliwa jina?
 
kama kweli ulikuwa humjui kama ulivyosema awali huyo mfanyabiashara imekuwaje leo awe na mawasiliano nawe hadi kufikia ku share nawe
document ambazo wewe umedai kuwa ni confidential hii inaonyesha bila shaka una mahusiano ya karibu na huyu mfanyabiashara.
 
Nape nafahamu umo humu Jf
Ushauri wangu kwako!
Kama hujui kwa sasa ni hamkani si shwari tena kile kipindi cha ndio mzee kimeenda.
Hivyo basi wenyenchi hawahitaji bla bla tena majukwaani, kama kwa maneno humzidi makamba na walio kutangulia.
Waswahili husema ada ya mja hunena, Bali muungwana hutenda.
kwa sasa ili mjinusuru, ni lazima muwaonyeshe wenye nchi utekelezaji wa angalau robo ya ahadi zenu, na mnaposhindwa kutekeleza budi mtoe sababu za kuwaridhisha na si kuwadanganya kisanii na kucheka cheka majukwaani!
cha kushangaza nanyi mnawaiga CDM majukwaani!
CDM inacho fanya ni kuwaonyesha njia.
La si hivyo mtaandika historia ya ccm kufia mikononi mwenu
 
mbona simwelewi Huyu nape? kinachumzungusha mikoani ni kugawa T-shirt, kofia, kusomba watu na magari na kuzungumzia CDM?je HAYO ndio kamati kuu ya CCM iliyomtuma akawaeleze wananchi juu ya gamba? Bwana mdogo acha upambe take care utapotea dogo
 
Kama anazo azimwage hapa jamvini
asizingue watu kama anavyofanya kwenye mikutano yake
Kutembea na kadi feki za CHADEMA
 
Nape kaachiwa gari bovu ajaribu kulipea ili likiwa ahuweni naye aendeshe. CCM ni gari bovu ,ambalo Nape anapoteza engergy kulipea lakini kamwe halitarudi barabarani
 
nini nyaraka, hata waraka na baraka akamate tu lakini greatest of all-HATUDANGANYIKI!!!!!
 
We pay him for that,ataitangaza chadema kila anapo enda,hata pale ambapo haijasikika
atakua kipaza sauti chetu,..
in return,wananchi watataka kujua "hawa chadema ni kina nani,kwa nini ccm ina wahofia"
then....
Dr. akipita huko,waka fananisha na pumba za Nepe neyuye watajua nani wa kufuata,
nani wa kutosa

Kumbe kuna sehemu CDM haijulikani?
 
Nape akili yako sio nzuri CCM utaiweza wewe? kama mwl Jk.Nyerere ilimkera na akaichoka? Nacho kushauri funga domo lako.
 
Haa ha ha..si-hasa za Marando ni noooma, naona anauma huku na kupuliza kule mwisho wa siku anapata kotekote, kaazi kwelikweli!!

CCM imefanya vizuri sana kumpata Nape, so far ameifanya kazi yake vizuri sana.

NDIYE WAKILI WA WATUHUMIWA WA EPA......NA ANAWATETEA KWELI KWELI MPAKA MAJIZI YA MABILIONI YAMEFUNGWA MIAKA MITATU......chadema bwana...tehe tehe tehe
 
Marando ndiye anayetoa hukumu?si bora hata hiyo mitatu watajua jera pakoje kuliko kutokwenda?Nape young boy weka nyaraka panapohusika acha porojo.by the way what are you doing there?mbona hakuna cha maana au Chadema ndiyo kikubwa kwako.Thx
 
Hivi hawa wanasiasa wanatabia gani??!!maana huwa nayatazama matendo na maneno yao nabaki kujiuliza hivi siku ya kiyama wataweza kuhimili kubeba mijidhambi wanayoitenda kijinga??!!!
Huu ni mchezo wa kitoto unaoendelea leo kwa watu wazima, na mchezo wenyewe waitwa ukutiukuti, tumechoka kusikia tuhumuhuma zikiandamana na vitisho, oooh cjui ntamfungulia fulani mashitaka cjui kanichafu, au kanidhalilisha na mengineyo!!hivi mahakama zilijengwa za kazi gani? nendeni mahakamani mkashitakiane kuliko kutupotezea muda kusikia tuhuma zenu bila kuchukuliana hatua!! acheni upuuuzi wenu kama mmeshindwa kutuletea maendeleo, na hayo maneno yenu yasiyo na msingi wapelekeeni watoto wenu nyumbani kwenu kama zawadi
Bullshit!!!!~!!​
 
wakili wa watuhumiwa wa EPA ..MABER NYAUCHOO MARRANDO ndiye wakili bora kwa sasa
 
Sijui haya sio matusi?......."Kimsingi namheshimu sana Marando, lakini kitendo cha kuchanganya uwakili na siasa karibuni kitamgharimu, hasa siasa za majitaka za Chadema," alisema Nape huku akishangiliwa na mamia ya wananchi waliofurika katika mkutano huo.
 
Hivi mkuu wa wilaya ana likizo ya siku ngapi kwa mwaka? Huyu DC NAPE asije akatumia kodi yetu kufanya kazi za CCM badala ya serikali huku CCM pia ikichukua ruzuku
 
Hivi mkuu wa wilaya ana likizo ya siku ngapi kwa mwaka? Huyu DC NAPE asije akatumia kodi yetu kufanya kazi za CCM badala ya serikali huku CCM pia ikichukua ruzuku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom