Short Boe
Member
- Nov 15, 2021
- 20
- 16
Wana JF mko poa..?
Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji..
Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna wazo nimelipata lakini hata bro cjataka kumshikirikisha kwanza. Binafsi napenda masuala ya udereva na ku-oparate mitambo mbalimbali! mf forklift nk.
Sasa nataka kujua je huko south michongo hii inapatikana? Je naweza tumia leseni ya bongo kuendeshea gari kule? Je taratibu za kujiunga na chuo cha udereva zikoje na gharama zake? Kwa hapa bongo sina leseni ila nina cheti cha VETA....