Hahaha pole mkuu, siwezi nikawa single hadi Leo!!!Na Mimi nataka uwe mpenzi wangu ii unisaidie nikikwama!
Hahaha pole mkuu, siwezi nikawa single hadi Leo!!!Na Mimi nataka uwe mpenzi wangu ii unisaidie nikikwama!
Hahaha pole mkuu, siwezi nikawa single hadi Leo!!!
Sawa mkuusijawahi kukutania
Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,Kama unataka wanawake wanaojiweza angalia na mazingira na sehemu unazokutana nao.
Ukipata Pesa, hawa ndugu zake Cute B watakuwa wanajileta tuuNdo hivyo mkuu tuombe tu nuksi hizi zitutoke
Hahaha pole mkuu, siwezi nikawa single hadi Leo!!!
Ni rahisi sana.Aiseeeee. Kujua jangwa lipi na bahari ni ipi ni changamoto
Hebu nipe shule aiseeee. Au unapenda kuona nina majangaNi rahisi sana.
Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,
Anza badilisha mazingira unayotembelea siku za mwisho wa wiki na sehemu za starehe..........usiendekeze tabia ya wewe kutoa tu afu hupokei ni ufala sana........Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....
Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..
Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?
Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"
Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
SanaaaaHuyo mwamba aliekuwai anafaidi sana
Nani kakwambia Mke anatafutwa sehemu za starehe?Unachekesha kuna makahaba unawakuta kwenye makasino yenye hadhi ya juu ukimuangalia anakunywa vinywaji vya pesa ndefu kumbe anadanga, mazingira hayaweza yakawa ni indicator ya kumpata mwanamke fulani mwenye hitaji la moyo wako,
Nani kakwambia Mke anatafutwa sehemu za starehe?
Bado anasoma mkuu. Subiri subiriHaaaa Mkuu basi niunganishie kwa mdogo wako
Wewe endelea kuteseka kwanzaUuuuhHebu nipe shule aiseeee. Au unapenda kuona nina majanga
PointKama unataka wanawake wanaojiweza angalia na mazingira na sehemu unazokutana nao.