Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Ahahahaaa
Boss hizi falsafa zako. Ngoja tuone. Ila maisha lazima yaendekila mtu ana uwanda wake wakufarahia maisha " .. kuna wenye kipato kikubwa lakini hawana watoto .. kuna wenye watoto lakini hawana kipato kikubwa ..
pia usione watu wapo kwenye mahusiano tu then ukatamani life style yao ".. mkuu siri ya mtungi aijuaye kata .. then ili uweze kuona uzuri wa jengo lazima ukae nalo mbali pindi utakapo lisogelea utajikuta unauona mlango tu pekee