Napata wakati mgumu kweli katika hili.

Napata wakati mgumu kweli katika hili.

Hahaha
Kwa kweli mimi siwezi maana the more nawazoea watu the more naongeza matatizo tu.
Naipenda familia yangu na majirani, na ishu zangu kubwa familia ndio itahusika.
Kutoka toka labda niwe na mpango wa kugombea udiwani, otherwise nachil om tu.
Na ina nisaidia kuish kwa peace
Iceman 3D , Coolman .., BARAFU . .,

MTOTO MTULIVU . . , wewe bado kijana mdogo tuu . . , huwezi kuwa na familia yako . . , kwa kuwa hujaoa wala huna watoto . . Kwa hiyo unaipenda familia ya Baba yako na mama yako . .

Ni nini kinakufanya ufikirie kuwa unaweza kuwa Diwani . . ?! Au wazazi wako ni wana siasa . . ? Siasa zinajitaji uwe "social". . , ufahamu watu na mazingira yao . . , uwe kiongozi . .

Ma anti social wengi wana athari za ki psychology . .
Inawezekana ni mtu MVIVU, hupendi kuhudumia wengine . .
Inawezekana ni mtu usiyejiamini kwa sababu ya MAUMBILE yako, mnene sana . . , mikono mifupi kuliko kawaida, makengeza . . , mfupi sana . . , nk
 
Una una hiv unaogopa kusambaza maambukiz??,,what else could make you such an idiot
 
Iceman 3D , Coolman .., BARAFU . .,

MTOTO MTULIVU . . , wewe bado kijana mdogo tuu . . , huwezi kuwa na familia yako . . , kwa kuwa hujaoa wala huna watoto . . Kwa hiyo unaipenda familia ya Baba yako na mama yako . .

Ni nini kinakufanya ufikirie kuwa unaweza kuwa Diwani . . ?! Au wazazi wako ni wana siasa . . ? Siasa zinajitaji uwe "social". . , ufahamu watu na mazingira yao . . , uwe kiongozi . .

Ma anti social wengi wana athari za ki psychology . .
Inawezekana ni mtu MVIVU, hupendi kuhudumia wengine . .
Inawezekana ni mtu usiyejiamini kwa sababu ya MAUMBILE yako, mnene sana . . , mikono mifupi kuliko kawaida, makengeza . . , mfupi sana . . , nk
Ni kijana mkubwa tu mimi mkuu, si siishi kwa wazazi naendesha life langu mwenyewe.
Nna familia kubwa nina marafiki wachche nina majirani kadhaa ninao wajua, ina tosha so lazima kuwa social utadhan natafuta umaarufu, ni style tu ya maisha
 
nina rafiki yangu ni mfupii na bonge ya kengeza na ni Mc ana fahamiana na watu chungu mzima, nadhani ni mambo ya hobbie tu.
 
Ni kijana mkubwa tu mimi mkuu, si siishi kwa wazazi naendesha life langu mwenyewe.
Nna familia kubwa nina marafiki wachche nina majirani kadhaa ninao wajua, ina tosha so lazima kuwa social utadhan natafuta umaarufu, ni style tu ya maisha
Sina nia yoyote ya kukushusha au kuku undergrade kwa lolote . . , nilikua nachangia hoja tuu kijana . .

Lakini ni ukweli pia wewe ni kijana mdogo, (below 26 yrs) . . , na ujivunie hilo . . Uzee utakuja tuu ukiishi vizuri ujana wako . . [emoji1] [emoji106]
 
Back
Top Bottom