Napata wakati mgumu kweli katika hili.

Napata wakati mgumu kweli katika hili.

Mi pia niko hivo nikitoka kwenye mambo yangu napenda kutulia kufanya vitu vyangu.
Hiyo misiba cjui, nikifa mtazika tu, kama nyie wajanja mniache msinizike tuone. Kwanza mi nakuwa nsha danch mbona poa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]usiseme hivyo..tujitahidi tuachane na hii kitu though
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usiseme hivyo..tujitahidi tuachane na hii kitu though
Hahaha
Kwa kweli mimi siwezi maana the more nawazoea watu the more naongeza matatizo tu.
Naipenda familia yangu na majirani, na ishu zangu kubwa familia ndio itahusika.
Kutoka toka labda niwe na mpango wa kugombea udiwani, otherwise nachil om tu.
Na ina nisaidia kuish kwa peace
 
Kila jambo lina wakati wake jitahidi kwenda na msimu or wakati ukipita ndo basi tena. Haurudi. Rem time is the only thing we can't recycle...
So just do it.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]otieno mzuri sana...nichagulie mwingine
unaona ?,siye wana sikoloji tushajua tatizo,huenda unafanana na baba,so hauko comfortable with the way you look,unakua kind of insecure mbele ya kandamnasi,

nadhani pia that is why ID inasoma am a girl.
Means you maybe think people a mistaking you for a man labda
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hujaniona tu
 
Back
Top Bottom