Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Its not a big deal in one way. Inakuepusha na mengi. Mfano kukaa na mashosti kuambukizana ujinga.... kuzurura ovyo, etc.
But kwenye ishu muhimu za kukuendeleza na kukuingizia hela hapo inabidi uwe serious.
Huo mda ndani tumia kusoma vitabu, kujaribu recipes mpya, kuendeleza hobby zako.
Believe me, you wont be a girl forever. You are going to miss the 'me time'.