Daaah Tanzania??? Kumlaumu polepole kwa kukosoa hadharani bila kificho .... na si kulaumu watekaji na wauaji .huu ni upumbavu wa kiwango cha mende
Kwa uwezo wako wewe wa Akili unadhani kama Polepole hakujua kosa lake !!!
kwann alikuwa anajificha uku anaongea yale alikuwa anaongelea!!! ????
Kwanini asiongee tu hadharani 👈
yani hangeitisha mkutano wa waandishi habari akaongea!
Na hakaruusu kuulizwa maswali kwa kile kaongea
zambi ingekuwa wapi apo???
Mwenye lengo la kupotosha Jamii utamjuqje ni vitendo vyake!!
Polepole kaongea mengi ya ujinga kuhusu CCM kiasi huwezi kuamini kuwa Eti Polepole alikuwa Katibu itikadi Uwenezi CCM!!
mfano Polepole alitaka jamii Ielewe Rais wasasa kapendelewa na CCM kwa kupitishwa bila kupigwa!
Ukweli ni upotoshaji wawazi kabisa❌️
Wkt ukweli mfumo wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwa hii ilikuwa ni awamu yake ya pili ivyo CCM wamekuwa na mazoea ya kutokukuekea mgombea mwengine✅️
lkl Polepole kwania mbaya yenye lengo la kupotosha Jamii
Polepole anadai Rais Samia Suluhu Hassan hii 2025 ndio awamu yake ya kwanza ❌️
lengo lake kuchanganya mpaka wana CCM wachache wasiojielewa baadhi
wakafikia kuoji kwann CCM imempitisha pekeyake¿¿¿¿ 😇😇
mn ni kweli ingekuwa ndio awamu ya kwanza talatibu lazima kuwe na wagombea wengi✅️
Watu wakamwamini zaidi Polepole kuliko ukweli wa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hakupendelewa na CCM ✅️
bali ni awamu yake ya pili kuelekea 2025-2030.
Polepole katumia njia ya kuongea kwa kujifisha Sababu kajua nini anataka kufanya kwenye Jamii!!
Hangekuja hadharani
wapo wenye kujua ukweli wangemuoji mifumo ya CCM inavyofanyakazi angeaibika mchana kweupe!!
Ndio akaona uwongo wake akaongee porini
Unaenda kujificha sehemu kisha unajirecord chumbani kwako
unaropoka ropoka kisha unatuletea
Mbona Askofu Gwajima mwisho akaelewa kosa lake!!!
ukitaka kuongea Siasa ongea kwenye mkutano wa maalumu ruhusu kupigwa maswali !!!
Sio unaenda kuongelea Kanisani au chumbani kwako. 💩💩
Lengo lako nini kwenye Jamii ¿¿