Napata utata kuhusu video za Humphrey Polepole

Ccm hawana tech yoyote. They're good ata killing innocent citizens. Joseph Gwajima hawakumkata na alifanya kama alichofanya HP. Circle ya polpole walimuuza
 
Kwa uwezo wako wewe wa Akili unadhani kama Polepole hakujua kosa lake !!!

kwann alikuwa anajificha uku anaongea yale alikuwa anaongelea!!! ????

Kwanini asiongee tu hadharani 👈

yani hangeitisha mkutano wa waandishi habari akaongea!

Na hakaruusu kuulizwa maswali kwa kile kaongea
zambi ingekuwa wapi apo???

Mwenye lengo la kupotosha Jamii utamjuqje ni vitendo vyake!!

Polepole kaongea mengi ya ujinga kuhusu CCM kiasi huwezi kuamini kuwa Eti Polepole alikuwa Katibu itikadi Uwenezi CCM!!

mfano Polepole alitaka jamii Ielewe Rais wasasa kapendelewa na CCM kwa kupitishwa bila kupigwa!

Ukweli ni upotoshaji wawazi kabisa❌️

Wkt ukweli mfumo wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwa hii ilikuwa ni awamu yake ya pili ivyo CCM wamekuwa na mazoea ya kutokukuekea mgombea mwengine✅️

lkl Polepole kwania mbaya yenye lengo la kupotosha Jamii

Polepole anadai Rais Samia Suluhu Hassan hii 2025 ndio awamu yake ya kwanza ❌️

lengo lake kuchanganya mpaka wana CCM wachache wasiojielewa baadhi
wakafikia kuoji kwann CCM imempitisha pekeyake¿¿¿¿ 😇😇

mn ni kweli ingekuwa ndio awamu ya kwanza talatibu lazima kuwe na wagombea wengi✅️

Watu wakamwamini zaidi Polepole kuliko ukweli wa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hakupendelewa na CCM ✅️

bali ni awamu yake ya pili kuelekea 2025-2030.

Polepole katumia njia ya kuongea kwa kujifisha Sababu kajua nini anataka kufanya kwenye Jamii!!

Hangekuja hadharani
wapo wenye kujua ukweli wangemuoji mifumo ya CCM inavyofanyakazi angeaibika mchana kweupe!!

Ndio akaona uwongo wake akaongee porini

Unaenda kujificha sehemu kisha unajirecord chumbani kwako
unaropoka ropoka kisha unatuletea

Mbona Askofu Gwajima mwisho akaelewa kosa lake!!!

ukitaka kuongea Siasa ongea kwenye mkutano wa maalumu ruhusu kupigwa maswali !!!

Sio unaenda kuongelea Kanisani au chumbani kwako. 💩💩

Lengo lako nini kwenye Jamii ¿¿
Huna akili na unanuka damu.
 
💯%
 
Unaongea kwa kutumia hisia. Kwamba Punda afe ilimradi mzigo ufike sio? Huyo bashiru mwenyewe walewale tu alikaa kimya kwa sababu hakuwa na option alirizika kulipwa vimiambili wakati huko nyuma alijichotea atakavyo. Polepole mimi sikuwahi kumwelewa maana ya ujifichaji ule ukishatibuana na mfumo you have no other option rather than to be very wise and smart alishindwa hata kumiliki bereta😂😂 mbwembwe zote akauzwa mchana kweupe kama yuda alivyomuuza yesu kwa vipande vya fedha.Alizingua sana
Nakubaliana na wewe, alikuwa mzembe
 
Kwa uwezo wako wewe wa Akili unadhani kama Polepole hakujua kosa lake !!!

kwann alikuwa anajificha uku anaongea yale alikuwa anaongelea!!! ????

Kwanini asiongee tu hadharani 👈

yani hangeitisha mkutano wa waandishi habari akaongea!

Na hakaruusu kuulizwa maswali kwa kile kaongea
zambi ingekuwa wapi apo???

Mwenye lengo la kupotosha Jamii utamjuqje ni vitendo vyake!!

Polepole kaongea mengi ya ujinga kuhusu CCM kiasi huwezi kuamini kuwa Eti Polepole alikuwa Katibu itikadi Uwenezi CCM!!

mfano Polepole alitaka jamii Ielewe Rais wasasa kapendelewa na CCM kwa kupitishwa bila kupigwa!

Ukweli ni upotoshaji wawazi kabisa❌️

Wkt ukweli mfumo wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwa hii ilikuwa ni awamu yake ya pili ivyo CCM wamekuwa na mazoea ya kutokukuekea mgombea mwengine✅️

lkl Polepole kwania mbaya yenye lengo la kupotosha Jamii

Polepole anadai Rais Samia Suluhu Hassan hii 2025 ndio awamu yake ya kwanza ❌️

lengo lake kuchanganya mpaka wana CCM wachache wasiojielewa baadhi
wakafikia kuoji kwann CCM imempitisha pekeyake¿¿¿¿ 😇😇

mn ni kweli ingekuwa ndio awamu ya kwanza talatibu lazima kuwe na wagombea wengi✅️

Watu wakamwamini zaidi Polepole kuliko ukweli wa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hakupendelewa na CCM ✅️

bali ni awamu yake ya pili kuelekea 2025-2030.

Polepole katumia njia ya kuongea kwa kujifisha Sababu kajua nini anataka kufanya kwenye Jamii!!

Hangekuja hadharani
wapo wenye kujua ukweli wangemuoji mifumo ya CCM inavyofanyakazi angeaibika mchana kweupe!!

Ndio akaona uwongo wake akaongee porini

Unaenda kujificha sehemu kisha unajirecord chumbani kwako
unaropoka ropoka kisha unatuletea

Mbona Askofu Gwajima mwisho akaelewa kosa lake!!!

ukitaka kuongea Siasa ongea kwenye mkutano wa maalumu ruhusu kupigwa maswali !!!

Sio unaenda kuongelea Kanisani au chumbani kwako. 💩💩

Lengo lako nini kwenye Jamii ¿¿
Mkuu umepigaje hapo?? Akikujibu hiyo ndezi uni tag
 
Back
Top Bottom