Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,009
Vile watu wanakwambia usijali tutakulinda, tuna watu kwenye mfumo tayari tulishawaandaa hakuna kitakachokutokea, vile na wewe Una huo utayari basi unajitosa...
Kama uko tayari kufa hakuna shida lakini siyo kutegemea Nyumbu za TZ ndio zikutetee, wengi tunaopiga kelele mitandaoni ni Keyboard warriors, Binafsi mtu aliyeshiriki kuandaa killing machine Kwa maslahi binafsi iliyoumiza watz wengi na madhara Yake tunayaona Hadi sasa huwa Sina huruma nae, ubinadamu huo Mimi Sina kabisa, mtu kama Lissu naweza kuwa na huruma naye kwasababu ameonesha anasimamia wapi hata kama tunapishana baadhi ya mawazo...