You need to employ a striker buddy!
hehehe eski kidumu mambo, shkamoo ex baby akee...You need to employ a striker buddy!
Suarez mwenyewe kashindwa kuipaisha livepool ataweza, analia tuuAmsajili Luis Suarez....
Lakini sio mbaya bora kaambulia hata kuwa mchezaji boraSuarez mwenyewe kashindwa kuipaisha livepool ataweza, analia tuu
WanaMMU.
Nadhani mko poa kabisa, nimekuwa suprised tangu huu mwaka umeanza huwa natengeneza tu ila kwenye umaliziaji imekuwa tatizo! Sielewi shida ni nini?
Ushauri wenu tafadhali'
WanaMMU.
Nadhani mko poa kabisa, nimekuwa suprised tangu huu mwaka umeanza huwa natengeneza tu ila kwenye umaliziaji imekuwa tatizo! Sielewi shida ni nini?
Ushauri wenu tafadhali'