Napata shida kwenye umaliziaji....

Napata shida kwenye umaliziaji....

Nimecheka sana. Kwa hiyo hufungu goli. Khaaaa unajitahidi weeee kupiga chenga na vichwa lakini wapi. Basi suburi mpira wa penalty au corner ila tegemea kuchezewa rough.
 
Aseee watu bwana..walivyoigeuza mada..ni balaaa...sasa hiv utasikia habar za ukawa
 
WanaMMU.

Nadhani mko poa kabisa, nimekuwa suprised tangu huu mwaka umeanza huwa natengeneza tu ila kwenye umaliziaji imekuwa tatizo! Sielewi shida ni nini?

Ushauri wenu tafadhali'

A4...sio ma-striker wote ni wafungaji wazuri ha ha ha ndo mana kuna kina Thierry henry na Kaunda mwakitope....step ur game up braza!
 
Aseee watu bwana..walivyoigeuza mada..ni balaaa...sasa hiv utasikia habar za ukawa

acha kabisa mkuu! Watu wamenielewa sema tu wanaleta utani kwenye jambo serious kama hili, pengine labda na wenyewe wana hiyo shida wanaishia kukimbiza hawamalizii
 
acha kabisa mkuu! Watu wamenielewa sema tu wanaleta utani kwenye jambo serious kama hili, pengine labda na wenyewe wana hiyo shida wanaishia kukimbiza hawamalizii

Tatizo lako unaogopa kuwa muwazi mi nimekuelewa. Unachoshindwa ni namna ya kuomba mechi.

Huwe muwazi usaidiwe
 
Duh! mkuu kwa kweli mimi hapa sijakuelewa..
 
Back
Top Bottom