Napata shida jamani

Napata shida jamani

Habari wakuu...

Kila nikilog in napata hii message

JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)

Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.

je tatizo ni nini???

Asanteni

badala unitafute mumeo, jf sasa hivi imebadili sio http ni https, na since wewe umesave password yako wakati ikiwa http inashindwa kuredirect kurudi kwenye http wakati now ni https,

cha kufanya clear cache, cookies, na ondoa password kwenye browser kisha save upya
 
Asante mume... nilijua uko busy na mitihani... ok next time nitakutafuta..

Miss u big!!!!
 
hili tatizo limeanza tangu last week jf ilipoanza kutumia ssl certificate na linawakumba waliosave password zao kwenye browser
mbona mimi sijasave passwod kwenye browser?????????
 
badala unitafute mumeo, jf sasa hivi imebadili sio http ni https, na since wewe umesave password yako wakati ikiwa http inashindwa kuredirect kurudi kwenye http wakati now ni https,

cha kufanya clear cache, cookies, na ondoa password kwenye browser kisha save upya

Nimeclear cache, cookies na password but bado inafanza kama awali!!!!!!!!
 
Habari wakuu...

Kila nikilog in napata hii message

JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (https://www.jamiiforums.com/)

Inanilazimu nilog in mara ya pili ili nifanikiwe.

je tatizo ni nini???

Asanteni
Basi itakuwa maradhi ya kuambukiza haya ,maana hata mie hali ndio hioyo hiyo ,uko chini kuna mdau kaposti tiba fanya tuinywe tupone!
 
Hii kitu mleta mada hata Mimi inasumbua
sana kwa upande wangu ni km wiki hivi
natumia Samsung GT-S6102.
 
Back
Top Bottom