Napangisha nyumba Dodoma

salome peter

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
380
250
Wandg natumaini mpo salama.
Napangisha nyumba Dodoma mjini eneo Area E brbr ya area D jirani sana na Tanzanite Lodge, ni nyumba yenye mpangilio mzuri waweza kufanya ofisi au makazi, mimi mwenye nyumba naishi Morogoro nilihamia kikazi. Contact zangu ni 0783 65 65 54 , 0713 65 65 54 na 0766 65 65 54 siyo dalali ni mwenye nyumba
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,542
2,000

Hii Nyumba ni Nzuri sana aisee,
Mbona inapangisha bei rahisi hivyo??
Na Huo Mlango wa Mbele hilo Grill hapo linafunguka lote au nusu??
 
Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
3,620
2,000
Atakaehitaji atanitafuta ndio tutaonyeshana picha na ndio maana nimeweka namba za simu kwani najua si wote humu watahitaji
We weka picha mdahalo wa nini , namba za simu tukiiona sio tukupigie ndio utupe au huna uhalali wa umiliki
 
salome peter

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
380
250
Anaetaka atanitafuta na bila hivyo pia bado wahitaji wapo wengi ambao hata bila kupitia huku watapatikana tu so far aliopo atatoka Feb ofisi nyingi zinaendekea kuhamia kule nyumba ni nzuri itajitangaza tu isikupotezee muda kwa kutaka picha
 
salome peter

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
380
250
20171206_071230.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom