Napangisha nyumba Dodoma

Ubishi ulikuwa wa nini sasa!!!
Unafanya biashara unaelekezwa unajifanya nunda, ooh nyumba nzuri inajitangaza, sasa kama ulijua hivyo unaitangaza ya nini!!!

Picha inarahisisha mtu kuchukua namba kukutafuta, lakini from no where tu mtu akutafute kwa kitu hata hakijui seriously!!!
Alidhani wateje watapatikana kirahisi sasa baada ya kuona imekuwa ngumu ikabidi hayafanyie kazi maoni ya wadau
 
Huyo anaesema nilikosa wateja hajui aongealo hata kuitangaza huku ni vile nimo lakini si lazima wateja wapo tu isikupe shida hata mtu atakaeitafuta wa kutoka humu naweza nismpe ikakaa tu siitegemei sana nyumba ndg, pia sihitaji mtu anitafutie mteja ndio maana niliweka namba mwenye kuhitaji anitafute yeye si kwa kuambiwa, bei siweki humu kwa kuwa huwa nyumba zangu ni biashara yangu bei ataijua atakaehitaji tu
 
Ubishi ulikuwa wa nini sasa!!!
Unafanya biashara unaelekezwa unajifanya nunda, ooh nyumba nzuri inajitangaza, sasa kama ulijua hivyo unaitangaza ya nini!!!

Picha inarahisisha mtu kuchukua namba kukutafuta, lakini from no where tu mtu akutafute kwa kitu hata hakijui seriously!!!
Nissan nyeupe hao..chenga
 
Huyo anaesema nilikosa wateja hajui aongealo hata kuitangaza huku ni vile nimo lakini si lazima wateja wapo tu isikupe shida hata mtu atakaeitafuta wa kutoka humu naweza nismpe ikakaa tu siitegemei sana nyumba ndg, pia sihitaji mtu anitafutie mteja ndio maana niliweka namba mwenye kuhitaji anitafute yeye si kwa kuambiwa, bei siweki humu kwa kuwa huwa nyumba zangu ni biashara yangu bei ataijua atakaehitaji tu

Aiseeeee

Halafu huwa tunalaumu eti kwanini Watanzania hatuna spirit ya ujasi.

Huu ndo mfano wa mfanyabiashara wa kibongo.

All the best dada
 
Huyo anaesema nilikosa wateja hajui aongealo hata kuitangaza huku ni vile nimo lakini si lazima wateja wapo tu isikupe shida hata mtu atakaeitafuta wa kutoka humu naweza nismpe ikakaa tu siitegemei sana nyumba ndg, pia sihitaji mtu anitafutie mteja ndio maana niliweka namba mwenye kuhitaji anitafute yeye si kwa kuambiwa, bei siweki humu kwa kuwa huwa nyumba zangu ni biashara yangu bei ataijua atakaehitaji tu
Punguza hasira Ndugu yangu,,Na Imani utanielewa, tena nimtu mzima kwanini unafanya mambo Kwa hasira, unaweza Ukaongea nakusema Kwa utani watu wakakuchukulia tofauti, jishushe
 
This is very serious. She's actually a landlady. Huyo mama mwenye nyumba kimeo. I wish anayetoka atupe feedback.
 
Sina haraka nayo mkuu hata ikikaa mwaka bila mteja hainidhuru kitu chochote
Acha majivuno mkuu, kama una nia ya kupangisha nyumba yako tulia usibishane na watu, kwani watu kusema ni jambo la kawaida. Ukisheheni majivuno hivi hata huyo mpangaji wako atapata taabu kwelikweli
 
Anaetaka atanitafuta na bila hivyo pia bado wahitaji wapo wengi ambao hata bila kupitia huku watapatikana tu so far aliopo atatoka Feb ofisi nyingi zinaendekea kuhamia kule nyumba ni nzuri itajitangaza tu isikupotezee muda kwa kutaka picha
Ukiona manyoya,....
 
Ninayo nyingine ipo Iringa road near kito hotel ina minazi zaidi ya hiyo na ilishaanza kuliwa uliza watu wa SUA wakusaidie jinsi mmea unavyoweza kustawi eneo ambalo mtu anahisi hauwezi kustawi
 
Kwani hiyo iliyopo hapo ya nani vile pole kwa hisia zako kwa usilolijua utalijua baadae saana nakushauri utulie tu huna haja ya kufuatilia hiyo nyumba kwa kuwa wewe siyo mhitaji mwenye kuhitaji atanitafuta
 
Kumbe watu wa Kilimanjaro nao wana mambo kama wahaya aisee
Sawa Mangi tumekupata
Mbwembwe nyingi Mara sitegemei nyumba tu
Sasa umekuja kutafuta mteja wa nini umu na aliyepo umesema anatoka wa pili mpaka hapo inaonesha ni jinsi gani unahitaji ela kwa haraka cha hajabu wewe unaweka majivuno tu kwamba huna shida na hata ikikaa mwaka bila mteja haikudhuru
Are you seriois?
 
Back
Top Bottom