Napangisha nyumba Dodoma

Huyo anaesema nilikosa wateja hajui aongealo hata kuitangaza huku ni vile nimo lakini si lazima wateja wapo tu isikupe shida hata mtu atakaeitafuta wa kutoka humu naweza nismpe ikakaa tu siitegemei sana nyumba ndg, pia sihitaji mtu anitafutie mteja ndio maana niliweka namba mwenye kuhitaji anitafute yeye si kwa kuambiwa, bei siweki humu kwa kuwa huwa nyumba zangu ni biashara yangu bei ataijua atakaehitaji tu
Mwanamke mwanamke tu miaka 1000
 
Ninayo nyingine ipo Iringa road near kito hotel ina minazi zaidi ya hiyo na ilishaanza kuliwa uliza watu wa SUA wakusaidie jinsi mmea unavyoweza kustawi eneo ambalo mtu anahisi hauwezi kustawi
Kito Hotel ndio ipi pale??
Mi Najua Kito Bar, Kito Lodge na Ile Hotel pembeni yake ambayo Mwenye nayo Mzee Mselia alijiua kwa kujipiga risasi baada ya kuzuiwa kuuza viroba.
Embu niambie we pale Nyumba yako iko wapi nikaiangalie hiyo minazi.
 
Back
Top Bottom