X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,692
- 12,286
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.
nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.
nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.
Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.
Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.
kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,
Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.
kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.
kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.
Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.
usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!
ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!
usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.