Mandieta, hivi Mungu anaangalia siku 28 tu za utakatifu?Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!
... ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.
Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.
Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.