Naondoka,nikionekana Mods nipigeni ban!!!

Elimu yako ni ndogo sana au hukupata kabisa elimu,na endapo kuna muislam atakayefuata hizi pumba ulizopost hapa eti ndizo pekee zenye kuharibu funga basi utakua na dhima mbele ya allah siku ya hukumu!!

unapokosoa onyesha uongo upo wapi pia toa ukweli wako. kwa hiyo wewe ulivyofundishwa madrasa ndo ukaambiwa jf inaweza batilisha funga? hovyoo.
 
Ramadhani kareem Mwenyezi mungu awe pamoja nanyi ndugu zangu waislam ktk mema na kuwaepusha na mabalaha ya mwovu shetani.amina
 
jua linapochomoza siku mpya inakuwa imeanza, maana cku hubadilika baada ya kuchomoza jua.

Ndio maana nakwambia kaa kimya huna elimu ya dini zaidi ya kutaka kuwapoteza watu.

Siku hubadili jioni muda wa magharibi.
Ndio maana endapo mwezi utaandama leo inamaana tayari mwezi wa ramadhan unaanza leo ingawa kufunga tutaanza kesho inshaallah.

Kwahiyo kuanzia leo tambua kwamba tar au siku za kiislamu hubadilika jioni.

Mtume alisema hivi:katafuteni elimu mpaka china.

Alikua anamaanisha kwamba,ikiwa eneo ulipo wewe haipatikani elimu basi waweza kwenda kuitafuta sehemu nyingine hata kama ni mbali kama china.
 
Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!

Na nikionekana nimerudi naomba Mods mnipige ban ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.

Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.

Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.

Mzee wa kuongeza salio (kitimoto) unamtangazia nani hapa? Nenda msikitini swain
 
Ndio maana nakwambia kaa kimya huna elimu ya dini zaidi ya kutaka kuwapoteza watu.

Siku hubadili jioni muda wa magharibi.
Ndio maana endapo mwezi utaandama leo inamaana tayari mwezi wa ramadhan unaanza leo ingawa kufunga tutaanza kesho inshaallah.

Kwahiyo kuanzia leo tambua kwamba tar au siku za kiislamu hubadilika jioni.

Mtume alisema hivi:katafuteni elimu mpaka china.

Alikua anamaanisha kwamba,ikiwa eneo ulipo wewe haipatikani elimu basi waweza kwenda kuitafuta sehemu nyingine hata kama ni mbali kama china.

Mtume alikuwa hajui geography nipo Mongolia China ipo jirani sana hapa
 
unapokosoa onyesha uongo upo wapi pia toa ukweli wako. kwa hiyo wewe ulivyofundishwa madrasa ndo ukaambiwa jf inaweza batilisha funga? hovyoo.

Ndio maana nimeamua kupumzika kuingia humu ili kujiepusha na matusi kama uyatoayo wewe.

Shetani atafungwa minyororo kuanzia leo inshaallah,na kwa yoyote atakayemuasi allah ktk kipindi hiki basi atakua amejipeleka mwenyewe motoni.

Kama wewe ni islam naomba badilika otherwise utakua ni mtiani mzito kwako juu ya mdomo wako,Ila allah ndiye ajuaye zaidi.

Aslm alykm!!
 
Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!

Na nikionekana nimerudi naomba Mods mnipige ban ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.

Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.

Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.
kama si mwezi ramadhani zambi sawa!!!!! imani nyingine bana,fanya zambi poteeee lakini mwezi huu hapa zambi haikubariki!!
 
Ufungapo usiwe kama wanafiki ambao hupenda kujionyesha kwa watu ili waonekane kuwa wamefunga, bali wewe ufungapo paka mdomo wako mafupa ili usijulikane na watu kuwa umefunga.........
Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!

Na nikionekana nimerudi naomba Mods mnipige ban ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.

Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.

Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.
 
ndio maana nimeamua kupumzika kuingia humu ili kujiepusha na matusi kama uyatoayo wewe.

Shetani atafungwa minyororo kuanzia leo inshaallah,na kwa yoyote atakayemuasi allah ktk kipindi hiki basi atakua amejipeleka mwenyewe motoni.

Kama wewe ni islam naomba badilika otherwise utakua ni mtiani mzito kwako juu ya mdomo wako,ila allah ndiye ajuaye zaidi.

Aslm alykm!!

hypocrite
 
Bwana Yesu kristo wa Nazareth ambaye ni Mungu aliye hai, akuongoze ktk swahum na kukutia nguvu mpaka mwisho wa swahum yako mkuu. Amen
 
Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!

Na nikionekana nimerudi naomba Mods mnipige ban ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.

Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.

Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.

There are currently 94 users browsing this thread. (18 members and 76 guests)

mandieta hapo kwenye namba 9 mkuu, hii ndo JF banaaa...
 
Last edited by a moderator:
Ili kuhakikisha kwamba mwezi mtukufu unakua salama kwangu na kwa members wengine wa jukwa hili,naondoka kwenye jukwa hili kwa muda na ntarudi baada ya mwezi wa ramadhani kwisha inshaallah!

Na nikionekana nimerudi naomba Mods mnipige ban ili kuninusuru na kuharibika kwa swaumu yangu na ya member wengine.

Sipo tayari kupata au kumsababishia mtu ban ambapo inawezekana ata swaumu kwa mfunguji ikaharibika kwa sababu za kisiasa.

Wabilah tawfiq.
Aslm aylkm.
Na ID zile nyingine nazo utazipumzisha kwa muda?
 
Mtume alikuwa hajui geography nipo Mongolia China ipo jirani sana hapa
hizi ndio ziro za form 4,yeye alitolea mfano wa nchi aliyokuwa akiishi,na ww chukulia huo ndio mfano wa hapo unapoishi.Kama ukifundishwa gari,sio kila ikija model mpya wa gari,umtafute tena mwalimu aliyekufundisha,Unatumia akili yako.
 
kama si mwezi ramadhani zambi sawa!!!!! imani nyingine bana,fanya zambi poteeee lakini mwezi huu hapa zambi haikubariki!!
Akili za shule za kata hizi,hukuambiwa kama siku nyingine ufanye dhambi,ila mwezi huu ndio uko kwenye mafunzo zaidi ya kukumbusha usitende dhambi.
 
Haya mandieta ramadhani kareem!
 
Back
Top Bottom