Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,478
- 46,451
Malegend huwa hatuachi mkuu.
We kausha tu, ye akikausha na wewe kausha. Siku akikucheki mchart naye kishkaji tu unamkaushia tena hadi ajiongeze mwenyewe kuachana na ww.
Hii ni njia nzuri kwani itakurahisishia kupasha kiporo.