- Thread starter
- #21
Kwa Nini unasema hivi brother?Umetowa ushauri mzuri saana ila nilichogundua unamshauri mtoto wa darasa la tatu C kuacha kutembea na ufutio
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Kwa Nini unasema hivi brother?Umetowa ushauri mzuri saana ila nilichogundua unamshauri mtoto wa darasa la tatu C kuacha kutembea na ufutio
Nimekuelewa bro. Acha nimuache ale maisha.Temana naye mkuu, samaki walivyo wengi baharini kwa nini ung'ang'ane na samaki mmoja?!
Anakula maisha wapi mkuu? Huyo hana akili, na asipojitambua unaweza kutana naye miaka michache ijayo na usimtambue kwa jinsi alivyobaragazwa na wahuni.
Acha tu, Hawa wanawake 0 brain wanakuja kutupotezea muda mno.Anakula maisha wapi mkuu? Huyo hana akili, na asipojitambua unaweza kutana naye miaka michache ijayo na usimtambue kwa jinsi alivyobaragazwa na wahuni.
Keep your head up bro.
Kweli mkuu, vilevile usipende kudate na hivi vitoto vya 2000, tafuta atleast mwanamke anayejua thamani yake. Kama wewe ulivyosema una 28 ungedate hata na mtu mwenye miaka 24 hivi. Huyo kidogo anaweza akapembua njia njema na mbovu.Acha tu, Hawa wanawake 0 brain wanakuja kutupotezea muda mno.
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Ana utoto tu, akikua ataacha.Huyo dada ana 20, Nina 28. Nishachoka tabia yake.
Naunga mkono hojaKweli mkuu, vilevile usipende kudate na hivi vitoto vya 2000, tafuta atleast mwanamke anayejua thamani yake. Kama wewe ulivyosema una 28 ungedate hata na mtu mwenye miaka 24 hivi. Huyo kidogo anaweza akapembua njia njema na mbovu.
Anadate na binti mdogo sana. Lazima aumize kichwa mno.Naunga mkono hoja
Sitaki Tena drama. Nimeshamuambia aendeeAnadate na binti mdogo sana. Lazima aumize kichwa mno.
Kwa umri wake huo mkuu kwann usimnyooshe taratibu.. hajawa papa huyoHuyo dada ana 20, Nina 28. Nishachoka tabia yake.
Yeah na hiyo tabia inaboa sanaAnadate na binti mdogo sana. Lazima aumize kichwa mno.
Hahaha! Sema wanawake mnajua kutunyoosha. Imagine mtoa mada awaze kutafuta pesa halafu bado kuna binti anamuumiza kimawazo.Yeah na hiyo tabia inaboa sana
Ulianza kuliwa kabla ya 19?Maelezo yako ni mimi mtupu kipindi kile nina miaka 19...huyo unayemuelezea ana umri gani?
Alikuwa hapendi pia ile tabia na alikuwa ananiambia mara nyingi lakini sikubadilika...akafikia maamuzi kama yako ya kubwaga manyanga...nikaachwa teh!
One thing for sure ni kwamba anakupenda,hivyo ni vijitabia ambavyo huwa tunakuwa navyo tu na havielezeki inakuwaje vinajitokeza...with time atabadilika tu
Mimi nilimpenda sana yule mwanaume lakini vile vitabia vya kununa vilinipenda zaidi,vikaharibu kila kitu
Wanawake ndivyo walivyo ukiona mwanamke anakufanyia visa vya hiiNilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili. Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini? Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini? Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
Sawa mkuu. Lakini kuwa makini usije ukarudisha majeshi tena. Mwanamke ukishamuacha, kurudiana naye ni kama utakuwa umeonyesha udhaifu. Na atautumia kila anapopata nafasi. Usirudishe mawazo nyuma.Sitaki Tena drama. Nimeshamuambia aendee
na aliyempata huko
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Haina haja ya kumfuata kumwambia muachane we mkaushie tu ukimfuata ukimwambia ataona kama unahitaji hurumaNilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili. Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini? Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini? Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
😂😂😂 mwanamke mapozi muhimu bana (ila yasizidi hadi ikawa kero kwa mwenzi)Hahaha! Sema wanawake mnajua kutunyoosha. Imagine mtoa mada awaze kutafuta pesa halafu bado kuna binti anamuumiza kimawazo.
Kuna wengine wameenda umri lakini bado wana mambo kama huyu binti. Mara nyingi hizo ni dalili za mwanamke ambaye anapenda kuendesha wanaume, haswa wale wenye upendo wa dhati.😂😂😂 mwanamke mapozi muhimu bana (ila yasizidi hadi ikawa kero kwa mwenzi)
Hapo ishu ni utoto unamsumbua bidada halafu akiona my wake he is always there for her basi ndio kabisa anazidisha pozi kumbe hajui anamkera mwenzake na kumchosha.
Ni kweli kabisa hilo, mtu unapendwa halafu unatake advantage ya huo upendo na kumuona mwenzako bwege, tabia chafu sana.Kuna wengine wameenda umri lakini bado wana mambo kama huyu binti. Mara nyingi hizo ni dalili za mwanamke ambaye anapenda kuendesha wanaume, haswa wale wenye upendo wa dhati.
Unaweza jua upo na mtu kumbe yeye kitambo ameshakuona ndezi anakuchora tu.
Kwa huo umri wake ni sawa tu kuwa na drama za kipumbavu sababu bado hajielewi huo umri wa kubadili badili mabwana ila kwa faida yako tu tafta mwanamke mwenye atleast 25 yrs of age!Huyo dada ana 20, Nina 28. Nishachoka tabia yake.