Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.
 
Pole sana Mkuu, Hapo wewe bado hujasimama, Toa conditions kuwa huyo dogo ana Kera na Uwambie ukiwepo hutaki Kuona Huo Ujinga kabisa machoni mwako

Niliwahi kudate na Mtu wa Ivo na alikuwa na Toto analidekeza hatari ilikuwa nikifika dogo Anakosa raha kabisa na Ujinga wote anaacha mana dakika Moja mimi ni Kiboko nachapa, Na Kila Nikiwepo Mazingira hayo dogo hakuna Kulala wala Kushinda Chumbani kwa mama yake

Single mothers Changamoto sana Upuuzi wao ni Kudekeza watoto sana Ovyo kabisa

Ilikuja Nikapiga Chini
 
ni wa kike au au kiume?
 
Nmejaribu kumwambia kistaarabu athari ya mtoto kuwa bwege kunyonya vidole na kudeka.haelewi. anasema ataacha tu pole pole mtoto anataka upendo sana. Sasa kwa kweli ameanza kuhisi maana nlimwambia mimi sipendi kabisa toto linalonyonya vidole. Linanikera coz linakuwa zubaifu. Kwake nakwepa kwenda sababu ntaenda kutana na hizo kero.na nlimwambia binafsi sijui kudekeza. Mimi kazi kazi. Sipendi mitoto ya kudeka.
 
Moja ya sifa ya mwanaume ni kukabili matatizo ya kifamilia yaliyo mbele yako na sio kuyakimbia.

Jipime uanaume wako kwa kumfanya huyo mtoto atokee kama mtoto.

hata kama sio wako, ila jipe challenge kuwa je angekuwa wako ungemnyooshaje?
Huwezi kabili au badilisha mtoto ambaye si wako bila idhini ya mamaye. Utaonekana unamchukia.
 
Hahaaaa sema ma single maza jau sana kwa jinsi wanavyolea watoto wao ni dhahiri hata waliowazarisha wanakua wanaona mzigo
Aiseeeee.....mimi mitoto nare nare kwa kweli sipendi. Inanikwaza sana
 
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga.

Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka usingizini usiku anataka akumbatiwe na apewe ziwa awe anachezea chezea mdomoni ndo alale. Mama yake anaona sawa tu.

Anaweza pigiwa simu na dada wa kazi akapewa aongee na mama yake analia tu kuwa mama yake arudi nyumbani ambembeleze alale. Kitendo tu cha kunyonya vidole muda wote mimi kinanikera. Sasa sitaki hata kukanyaga kwa huyu single mother. Anasisitiza niwe father figure kwa mwanaye. Mimi siwezi lea mtoto kinare nare. Nimeona mapema tunashindwana.

Muache Mtoto wa watu, you are not matured enough kuwa Baba
 
Huna hela mjomba, ungekua na hela ungempeleka boarding school. Usitafute lawama na njia ya kutokea.
 
Back
Top Bottom