amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,994
jirani ushawahi kula kiporo cha kisamvu?Mkuu hizo mambo za kula viporo siwezi kabisa.
Mi chakula kikisha lala nakiogopa sana

Usiuwe sisimizi. Wee viweke tu waache wajae wanachukua mabaki yote mdogomdogo na hakuna bakteria atakaa hapo. Siku ya tatu unasuuza tu kwa mbaaaaali. Wanakwangua hadi ukokoHio ndio biashara ambayo inanifanya nishindwe kupika yani. Kupika ni raha sana ila ingekuwa kuna namna ukishashiba vyombo vinajiosha ingekuwa raha sana. Mchina atufyatulie mashine hio tafadhali. Kupika sio kazi, ishu kuosha vyombo yani ndio balaa!!!
Jirani kitu kinachoitwa kiporo nashindwaga kulaa...jirani ushawahi kula kiporo cha kisamvu?
Mkate mwee kwa hio ni kama komuniooBachela nataka kuwa bachela sababu maisha ya kisela sometimes yananipa raha
Mkuu
Watu tunatumiaga hiyo 1000 kwa siku na tunadunda mtaani
Nunua mkate au maskonzi weka ndani kazi ni kuhakikisha chupa inachai muda wote
Maisha yanaenda mungu siku moja atafanya maisha yawe mepesi usijali mkuu
Uvivu tuNliloweka sufuria wiki wallah nliamua kutupa ninunue nyingine sijui kuosha vyombo kuna kauchawi gan
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujiendekeza sasa ww nyama robo unataka upike unalize siku moja nyanya nazo na mahoho makaroti umalize kwa siku moja huo ni upimbiWakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.
Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu mmoja ni Gharama kubwa kuliko kula mghahawani.
Mimi bajeti ya chakula cha mchana ni 3000 na jion hivyohivyo, hivyo jumla kuwa 6000 kwa siku.
Lkn nilipo anza kupika nikaona gharama ni zilezile mchanganuo ni kama ifuatavyo,
1. Mchele nusu 1000
2. Mboga za majani 500
3. Mafuta 500
4. Nyanya na vitunguu, hoho 1000
5. Nyama robo 1500
6. Nishati 500
Jumla inakua 5000
Najua wengine watasema vitu unanunua kwa jumla, lkn nimefanya hivyo na ukichukua hesabu zake ni kama hivyo tu.
Sasa hapo hujaweka usumbufu wa kupika, kuosha viombo, kumwagamwaga maji, na muda pia.
Pili kupika kunahitaji ufuatiliaji, mana nishaunguza sana tu.
Je nyie ambao ni mabachela mnaweza save vipi gharama kwa kupika na kuepuka kula mghahawani?
Labda mnaweza nishawishi tena nirudi jikoni mana nilipika wiki mbili nikaacha mpk vitu vikakaribia kuharibika ikabidi nivigawe tu.
Wakuu,

Duh...Kibachela buku tu inatosha.
Hua nazungusha kiugali changu unga robo 200. Napika kwa kerosine stove (jiko la mchina). Mafuta koroboi 2 150 jumla 300. Yanatosha kuivisha ugali.
Mboga: Nachukua na dagaa mchele wa kulumagia. Japo fungu ni buku niliingia MoU na Mama Chuki awe ananiuzia nusu fungu yaani 500 na kila siku nanunua kwake tu
Sipakui ugali nakula kwenye sufuria tu na dagaa nakula kwenye gazeti lake. Kwahyo kazi yangu ni kuosha sufuria na mwiko tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
KIPORO cha KISAMVU ulie na KIPORO cha WALI, na CHAI yangu ya Rangi nakuambia KIPORO nitakifakamia kama sina Akili nzuri vile.jirani ushawahi kula kiporo cha kisamvu?
Safi sana.Kibachela buku tu inatosha.
Hua nazungusha kiugali changu unga robo 200. Napika kwa kerosine stove (jiko la mchina). Mafuta koroboi 2 150 jumla 300. Yanatosha kuivisha ugali.
Mboga: Nachukua na dagaa mchele wa kulumagia. Japo fungu ni buku niliingia MoU na Mama Chuki awe ananiuzia nusu fungu yaani 500 na kila siku nanunua kwake tu
Sipakui ugali nakula kwenye sufuria tu na dagaa nakula kwenye gazeti lake. Kwahyo kazi yangu ni kuosha sufuria na mwiko tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie wengine VIPORO ndio vimetukuza Kiongozi.Mkuu hizo mambo za kula viporo siwezi kabisa.
Mi chakula kikisha lala nakiogopa sana
MboAcha kujiendekeza sasa ww nyama robo unataka upike unalize siku moja nyanya nazo na mahoho makaroti umalize kwa siku moja huo ni upimbi
Utaona maisha ya kupika magumu kama huna fridge geto
Nunua hiyo nyama robo 1500 chemsha vizur weka kweny fridge ukiipangilia unaila mara 4 vizur kabisa
Mfano unanunua mchele wako nusu kilo 800 unakula mchana mpaka usiku safi kabisa ... Hapa nunua rice cooker unarahisisha kaz yako inakuwa kuunga mboga zako tu
Mfano ukichok kula nyama nenda kwa wale wanaouza maharagwe nunua ya jero wekaa kweny bakul nenda kayaunge nayo unakula zaid ya mara 2
Mm nimesomaga chuo life la mgahawa lilinishinda kwanza hushibi bora geto kama ukila usipo shiba unafunua jungu tena life linaenda

Mkuu hali sio nzuriAcha kuendekeza umasikin, mwili haujengwi kwa matofali utazeeka siku siyo zako ipende afya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora jua lina zama cha muhimu uzima nikipata ntafanya utakavyo hali sio nzur madameMkate mwee kwa hio ni kama komunioo