Naona Kula Mgahawani ni nafuu kuliko kupika kwa mtu mmoja

Hio ndio biashara ambayo inanifanya nishindwe kupika yani. Kupika ni raha sana ila ingekuwa kuna namna ukishashiba vyombo vinajiosha ingekuwa raha sana. Mchina atufyatulie mashine hio tafadhali. Kupika sio kazi, ishu kuosha vyombo yani ndio balaa!!!
Usiuwe sisimizi. Wee viweke tu waache wajae wanachukua mabaki yote mdogomdogo na hakuna bakteria atakaa hapo. Siku ya tatu unasuuza tu kwa mbaaaaali. Wanakwangua hadi ukoko
 
Bachela nataka kuwa bachela sababu maisha ya kisela sometimes yananipa raha

Mkuu
Watu tunatumiaga hiyo 1000 kwa siku na tunadunda mtaani

Nunua mkate au maskonzi weka ndani kazi ni kuhakikisha chupa inachai muda wote
Maisha yanaenda mungu siku moja atafanya maisha yawe mepesi usijali mkuu
Mkate mwee kwa hio ni kama komunioo
 
Wakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.

Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu mmoja ni Gharama kubwa kuliko kula mghahawani.

Mimi bajeti ya chakula cha mchana ni 3000 na jion hivyohivyo, hivyo jumla kuwa 6000 kwa siku.

Lkn nilipo anza kupika nikaona gharama ni zilezile mchanganuo ni kama ifuatavyo,

1. Mchele nusu 1000
2. Mboga za majani 500
3. Mafuta 500
4. Nyanya na vitunguu, hoho 1000
5. Nyama robo 1500
6. Nishati 500

Jumla inakua 5000

Najua wengine watasema vitu unanunua kwa jumla, lkn nimefanya hivyo na ukichukua hesabu zake ni kama hivyo tu.

Sasa hapo hujaweka usumbufu wa kupika, kuosha viombo, kumwagamwaga maji, na muda pia.
Pili kupika kunahitaji ufuatiliaji, mana nishaunguza sana tu.

Je nyie ambao ni mabachela mnaweza save vipi gharama kwa kupika na kuepuka kula mghahawani?

Labda mnaweza nishawishi tena nirudi jikoni mana nilipika wiki mbili nikaacha mpk vitu vikakaribia kuharibika ikabidi nivigawe tu.
Acha kujiendekeza sasa ww nyama robo unataka upike unalize siku moja nyanya nazo na mahoho makaroti umalize kwa siku moja huo ni upimbi

Utaona maisha ya kupika magumu kama huna fridge geto

Nunua hiyo nyama robo 1500 chemsha vizur weka kweny fridge ukiipangilia unaila mara 4 vizur kabisa

Mfano unanunua mchele wako nusu kilo 800 unakula mchana mpaka usiku safi kabisa ... Hapa nunua rice cooker unarahisisha kaz yako inakuwa kuunga mboga zako tu

Mfano ukichok kula nyama nenda kwa wale wanaouza maharagwe nunua ya jero wekaa kweny bakul nenda kayaunge nayo unakula zaid ya mara 2

Mm nimesomaga chuo life la mgahawa lilinishinda kwanza hushibi bora geto kama ukila usipo shiba unafunua jungu tena life linaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ww mafuta ya kupikia ya 500 unamaliza kwa siku moja kuwa mwangalifu nilifuatilia migahawa mingi hutumia mafuta ya korie ambayo sio mazur kwa afya ila kama unajipikia unanunua mafuta yako ya alizeti unajipikia safi kabisa
Wakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.

Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu mmoja ni Gharama kubwa kuliko kula mghahawani.

Mimi bajeti ya chakula cha mchana ni 3000 na jion hivyohivyo, hivyo jumla kuwa 6000 kwa siku.

Lkn nilipo anza kupika nikaona gharama ni zilezile mchanganuo ni kama ifuatavyo,

1. Mchele nusu 1000
2. Mboga za majani 500
3. Mafuta 500
4. Nyanya na vitunguu, hoho 1000
5. Nyama robo 1500
6. Nishati 500

Jumla inakua 5000

Najua wengine watasema vitu unanunua kwa jumla, lkn nimefanya hivyo na ukichukua hesabu zake ni kama hivyo tu.

Sasa hapo hujaweka usumbufu wa kupika, kuosha viombo, kumwagamwaga maji, na muda pia.
Pili kupika kunahitaji ufuatiliaji, mana nishaunguza sana tu.

Je nyie ambao ni mabachela mnaweza save vipi gharama kwa kupika na kuepuka kula mghahawani?

Labda mnaweza nishawishi tena nirudi jikoni mana nilipika wiki mbili nikaacha mpk vitu vikakaribia kuharibika ikabidi nivigawe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibachela buku tu inatosha.

Hua nazungusha kiugali changu unga robo 200. Napika kwa kerosine stove (jiko la mchina). Mafuta koroboi 2 150 jumla 300. Yanatosha kuivisha ugali.

Mboga: Nachukua na dagaa mchele wa kulumagia. Japo fungu ni buku niliingia MoU na Mama Chuki awe ananiuzia nusu fungu yaani 500 na kila siku nanunua kwake tu

Sipakui ugali nakula kwenye sufuria tu na dagaa nakula kwenye gazeti lake. Kwahyo kazi yangu ni kuosha sufuria na mwiko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jirani ushawahi kula kiporo cha kisamvu?
KIPORO cha KISAMVU ulie na KIPORO cha WALI, na CHAI yangu ya Rangi nakuambia KIPORO nitakifakamia kama sina Akili nzuri vile.

KIPORO cha KISAMVU kina siri moja, KISAMVU kikilala CHUMVI inajikojolea.

Yaani KISAMVU kinaongezeka Ladha.

KIPORO cha KISAMVU hata kwa MIHOGO ya kuchemsha, vinaendana sana.

Napenda sana MIHOGO ya kuchemsha kwa KIPORO cha KISAMVU
 
Kibachela buku tu inatosha.

Hua nazungusha kiugali changu unga robo 200. Napika kwa kerosine stove (jiko la mchina). Mafuta koroboi 2 150 jumla 300. Yanatosha kuivisha ugali.

Mboga: Nachukua na dagaa mchele wa kulumagia. Japo fungu ni buku niliingia MoU na Mama Chuki awe ananiuzia nusu fungu yaani 500 na kila siku nanunua kwake tu

Sipakui ugali nakula kwenye sufuria tu na dagaa nakula kwenye gazeti lake. Kwahyo kazi yangu ni kuosha sufuria na mwiko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.

Ni vizuri kubana matumizi pale inapobidi kufanya hivyo.

Kiongozi nakupa SALUTI zote
 
Mbona unamuonea jirani yangu?nyama robo aile siku 4? jamani? ujue nyama robo hata finyango kumi hazifiki? atakulaje siku 4.

Au wewe ni mpare?
Acha kujiendekeza sasa ww nyama robo unataka upike unalize siku moja nyanya nazo na mahoho makaroti umalize kwa siku moja huo ni upimbi

Utaona maisha ya kupika magumu kama huna fridge geto

Nunua hiyo nyama robo 1500 chemsha vizur weka kweny fridge ukiipangilia unaila mara 4 vizur kabisa

Mfano unanunua mchele wako nusu kilo 800 unakula mchana mpaka usiku safi kabisa ... Hapa nunua rice cooker unarahisisha kaz yako inakuwa kuunga mboga zako tu

Mfano ukichok kula nyama nenda kwa wale wanaouza maharagwe nunua ya jero wekaa kweny bakul nenda kayaunge nayo unakula zaid ya mara 2

Mm nimesomaga chuo life la mgahawa lilinishinda kwanza hushibi bora geto kama ukila usipo shiba unafunua jungu tena life linaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbo
 
mimi kwa kweli kupika kumenishinda... lunch yangu ina range 6000-7000, then dinner the same.

napenda nikirudi home nikae tu niangalie habari au series, kama kuna inshu ya kazi sikumaliza niimalizie basi.

muda wa kuanza kuwaza kupika napata uvivu sana
 
Nimeshawahi kupika misimu mitatu lakini nimeacha,garama na usumbufu

Kuosha vyombo
Muda unaotumia
Yan kupika nitapikiwa ndio nafuu
 
Back
Top Bottom