Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Ninaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke, Mbagala, Kigamboni, Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa CCM, hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda Kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya CCM na mgombea wao, sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika Jumatano ijayo!