Naona kama ananijaribu...

wewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto
muone huyu ww huezi toka na meanamke bila kumtongoza kumbe
 
huo ni ujinga sasa yaani mimi nitoke na mtu sio ndugu yangu halafu nisimtongoze kwa nini yaani ukiona hivo ndpo wale jamaa unakuta ana utitiri wa mademu wengi anasema marafiki zake afu hawampi mwisho wa siku unajidharaulisha hata kwa mademu wengine nao wanakuona boya na wanaamini kama wewe umezoeana na wanawake kiasi hiko basi hata akimpa na kuwa naye kwanye relationship lazima kugombana ndo maana washkaji kama hawa unakuta wanapataga sana shida kupata mademu...mwanaume unatakiwa uwe na mipaka na wanawake sio kuwa na marafiki zako na ukiwa na mwanamke pia ujieshimu sio kukimbizana na marafiki eti halafu wakike
 
Kwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!

Nyie hao hau mnasema urafiki wa mwanaume na mwanamke hamna alafu nyie hao hao mwataka story na mwanaume mkiwa mpo wawili tuu....sasa nimeelewa kwa nini watu wanaona bora ubake tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
wewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto

Alafu wakibakwa wanajiliza liza tuu
 
huo ni ujinga sasa yaani mimi nitoke na mtu sio ndugu yangu halafu nisimtongoze kwa nini yaani ukiona hivo ndpo wale jamaa unakuta ana utitiri wa mademu wengi anasema marafiki zake afu hawampi mwisho wa siku unajidharaulisha hata kwa mademu wengine nao wanakuona boya na wanaamini kama wewe umezoeana na wanawake kiasi hiko basi hata akimpa na kuwa naye kwanye relationship lazima kugombana ndo maana washkaji kama hawa unakuta wanapataga sana shida kupata mademu...mwanaume unatakiwa uwe na mipaka na wanawake sio kuwa na marafiki zako na ukiwa na mwanamke pia ujieshimu sio kukimbizana na marafiki eti halafu wakike

Umekosa marafiki wakiume mpakanuwe na urafi na mwanamke....wee mwanamke hamnaga urafuki ni mawili either tunafanya kazi pamoja basi au tunagegedana urafiki haupo.
 
Wewe vp? Kwani kua mchumba au mke/mume wa mtu ni sababu ya kutokujumuika na marafiki au kwenda outing ?
Aisee!!! Mm nafikiri alikuja kwa nia njema, kusikia ujumbe utakao kua nao kwake au just friends umemwalika kwny lunch au dinner,
Thats all ,
 
Mwanamke kesha ingia katika 18 wewe unaanza kuleta utoto

Hivi unadhani usawa patakuwa na mwanamke asiyekuwa na mtu wake ?? Thubutu

Sehemu kama hizo wenzio huwa hawatongozi wanaomba tu Romance then kitu na box
 
Demu Alitaka kimasihara wewe ukaenda kuleta ngonjera..
Kuna kitu ulioverdo that's why next time don't overdo
 
Iyo ya kuambiwa na Mtu binafsi huwa haini shtui..kila mtu ashinde match zake taendeleza lig ivyo ivyo
 
Nilikutana na Dada mmoja mzuri kiasi. Nikamuomba namba. Nikawa nachat nae kidogo siku kadhaa nampotezea. Nikamuomba kidogo tukakae mahali tuongee alikubali. Nikakaa kama mwezi weekend moja nikasema niko free twende tukae mahali tuongee. Akaja kweli, tukakaa, tukanywa, tukala tukabadilishana mawili matatu nikamwambia shida yangu. Akaniambia ana mpenzi na anajulikana mpaka kwao. Lakini kabla ya hapo kila nikimuuliza alikuwa ananiambia hana.

Sasa najiuliza alijua namtaka, nikamwita akaja, akanisikiliza akajumuika na Mimi. Kama kweli ana mtu anajulikana mpaka kwao, inakuwa je akubali kuja kujumuika na Mimi tena wawili tu? Je ananipima au anamaanisha? Kama muda wote hakuniambia, mpaka tumetoka, ndo anasema ana mtu wake, ina maana kabla ya huko kote asingeweza kukaataa kutoka out na Mimi kisa ana mtu? Nataman kupotezea lakin roho inakataa. Nahisi ananipima. Wanawake hawa jamani.

Changieni mawazo kidogo watanzania.
Unadhan hata haooo wanawake wooooote wanaotoka na watu out ni singles? Kuna wengine si kuwa na mchumba tu, bali wapo ktk ndoa kabisa. Ila changamito na mapito zinawafany kuchoka na kutafuta faraja, huku akilinda Mahusiano. Yasibomoke. Hapo unawwza pewa ujembe kuwa HATUWEZI KUWA PAMOJA KTK FAMILIA, BUT TUNAWEZA KULIWAZANA NA KUENJOY.
 
Nilikutana na Dada mmoja mzuri kiasi. Nikamuomba namba. Nikawa nachat nae kidogo siku kadhaa nampotezea. Nikamuomba kidogo tukakae mahali tuongee alikubali. Nikakaa kama mwezi weekend moja nikasema niko free twende tukae mahali tuongee. Akaja kweli, tukakaa, tukanywa, tukala tukabadilishana mawili matatu nikamwambia shida yangu. Akaniambia ana mpenzi na anajulikana mpaka kwao. Lakini kabla ya hapo kila nikimuuliza alikuwa ananiambia hana.

Sasa najiuliza alijua namtaka, nikamwita akaja, akanisikiliza akajumuika na Mimi. Kama kweli ana mtu anajulikana mpaka kwao, inakuwa je akubali kuja kujumuika na Mimi tena wawili tu? Je ananipima au anamaanisha? Kama muda wote hakuniambia, mpaka tumetoka, ndo anasema ana mtu wake, ina maana kabla ya huko kote asingeweza kukaataa kutoka out na Mimi kisa ana mtu? Nataman kupotezea lakin roho inakataa. Nahisi ananipima. Wanawake hawa jamani.

Changieni mawazo kidogo watanzania.
Mkuu ulitakiwa ule kwanza mzigo kimasihara kwanza , mambo mengine yangejijenga yenyewe
 
Hivi wanaume tukoje?kwani kila mwanamke lazima awe demu wako?tuwaache wengine wawe "just friend"
 
Back
Top Bottom