Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nadhani ishu ni vinywaji na chakula alichomnunulia [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!
Nadhani ishu ni vinywaji na chakula alichomnunulia [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!
Siku ile nimepambana wee mpaka ukaitoa ile mbaya kabisa. Hata hii ulisema utaitoa lakini karibia unamaliza mwezi. Si urudishe tu ile nyingine?[emoji38]nilijua utaniambia niitoe
Usimdanganye. Hii avatar siyo nzuri. Haiendani na haiba yake.[emoji3]Hii nimeipenda. Nilikuwa natafuta nafasi niisifu.
[emoji25] kwani ni mbaya?!Siku ile nimepambana wee mpaka ukaitoa ile mbaya kabisa. Hata hii ulisema utaitoa lakini karibia unamaliza mwezi. Si urudishe tu ile nyingine?
Dah, kwa nini mkuuNadhani ishu ni vinywaji na chakula alichomnunulia [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi, kwani alimununulia Big Mac, French Fries na Coke medium size? 😅Nadhani ishu ni vinywaji na chakula alichomnunulia![]()
![]()
![]()
mpotezeee na kama alikuelewa ataanza kukuanbia mbona siku hizi kimya..hapo kwenye akili yake anataka uongeze bidii aone kama unampenda sasa we potezea maana hizo trick ni zamani sanaNilikutana na Dada mmoja mzuri kiasi. Nikamuomba namba. Nikawa nachat nae kidogo siku kadhaa nampotezea. Nikamuomba kidogo tukakae mahali tuongee alikubali. Nikakaa kama mwezi weekend moja nikasema niko free twende tukae mahali tuongee. Akaja kweli, tukakaa, tukanywa, tukala tukabadilishana mawili matatu nikamwambia shida yangu. Akaniambia ana mpenzi na anajulikana mpaka kwao. Lakini kabla ya hapo kila nikimuuliza alikuwa ananiambia hana.
Sasa najiuliza alijua namtaka, nikamwita akaja, akanisikiliza akajumuika na Mimi. Kama kweli ana mtu anajulikana mpaka kwao, inakuwa je akubali kuja kujumuika na Mimi tena wawili tu? Je ananipima au anamaanisha? Kama muda wote hakuniambia, mpaka tumetoka, ndo anasema ana mtu wake, ina maana kabla ya huko kote asingeweza kukaataa kutoka out na Mimi kisa ana mtu? Nataman kupotezea lakin roho inakataa. Nahisi ananipima. Wanawake hawa jamani.
Changieni mawazo kidogo watanzania.
wewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitotoKwahyo kama mtu ana mtu wake akaja kuonana na ww kwa stori ni dhambi?!
Hapo sasa.wanawake cjui wanatuona je aisewewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto
Hivyo ameona hutoshiMkuu kanishangaza sana. Kwa sababu yan mpaka kanifata mwenyewe lakin mwishoni eti kabadili gear angani.
Mbona wengi wanafanya hivyo for friendly reasonswewe mtu sio rafiki yako sio kaka yako akuite hivi hivi akununulie na msosi we unaona sawa yaani wanawake nyie bana huwaga akiki zenu huwa zinakuwaje...yaani mwanamke nimkuja kugundua kuanzia miaka 40 kurudi chini mostly akili wanakua nazo za kitoto
free shit like this that always got in trouble have some self respect sometimes and being cheapMbona wengi wanafanya hivyo for friendly reasons
Wabongo mnakwama wapi
Mbona mnaprioritize chini sana
Wewe nakujuwa ulivoniafanyia hadi leo siamini kabisaInawezekana kweli ana mtu wake ama hajavutiwa na wewe baada ya kukaa na wewe masaa kadhaa kimaongezi,muonekano wako na mazaga zaga kama hayo
Kama unaweza jitafakari ulikosea wapi mlivyokutana halafu umtafute tena labda atakukubali ama kubaliana na maneno yake kwamba ana mtu wake
Hata hivyo kutoa namba,kukutana na mtu sio kigezo cha mtu kukutaka kimapenzi
Mimi naweza kufanya hayo yote na nikakukataa kiroho safi
Anataka kulazimisha Donad trap aje awe raisi wa uganda na mseveni aende USAYaan sijui watu wakoje aaaaah, muhusika kaweka wazi kuwa yeye yupo kweny mahusiano na mtu mwngne na anatambulika kwao, sasa wee kukupima inakujaje? Lol