Naona hili linazidi umri wangu

Naona hili linazidi umri wangu

Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la.

Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule?

Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
Pole mpeleke tu akajifungie kwanza maan atakupa tabu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anayeoga na mtoto wake Hana akili kabisa!unamuonyeshaje mtoto wako sehemu zako??ndio utaona mtoto ana tabia za ajabuajabu kama wa kiume na yeye ana Anza kutamani awe na ngongingo

Hii ipo sana kwa KE, hadi wakubwa wazima…. wa kiume sidhani.
 
N
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la.

Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule?

Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
Na wewe ni mume wa mtu kabisa??? Wanawake wavumilivu Sana kuvumilia mijuha kama hii taabu kweli kweli
 
Mkuu kama mna mtoto mkubwa namna hiyo, na huwa anaingia chumban mara kwa mara kwanini msifunge mlango.

Kama mkeo haelewi piga makofi mawili atakaa sawa, akili za kipuuzi namna hiyo sio za kuzifuga.
Nikitaka kupiga namuonea huruma sana, mchovu mno!
 
Sasa Mkuu kama mwenye mke unashindwa ku Control mke wako unafikiri nani ataweza.!???

Wewe bado sio mwanaume,,, huwezi shindwa control mke ndani na bado unajiita mwanaume...

Acha usharobaro.... Maliza hilo kiume... Na wife wako ameshakuona wew kenge tu... Amekupanda kichwani...

Kama hii hadithi sio chai,,, Grow up Men... Unadhalilisha Wanaume.
Ungenifahamu vizuri usingeandika haya!
 
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la.

Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule?

Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
Pole mkuu
 
Mkeo unamruhusu avae mashanga kiunoni ya kazi gani?
Afu mbona mnatumia style za kishamba hivyo kutiana?
 
Back
Top Bottom