Naona hili linazidi umri wangu

Naona hili linazidi umri wangu

Pole mpeleke tu akajifungie kwanza maan atakupa tabu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mkuu hapa sio solution kumpeleka nyumbani. Kwa nini unatumia njia ndefu kutatua tatizo? Kwanza tunaweza sema wote wanamakosa, mke alipo ruhusu mtoto kuingia ndani, jamaa alikuwa na uwezo wa kumstopisha dogo fasta. Lakini coz alinogewa na mbususu akawa kama kapigwa shoti kwa utamu.

Kama ni mimi, jioni moja namkalisha chini mke wangu jioni moja ninamwambia kama siku ike tulikosea tusirudie tena tutafundisha watoto tabia mbaya. Kisha namuambia, hiyo ilikuwa theory sasa tunafanya prectical, kafunge mlango leta raha.

Over and out.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kabinti kangu kana 2yrs, nilipoona kanaanza kuigiza tunavyofanyaga nikatimulia chumba kingine

Endelea kujipa imani huyo wa 6yrs haelewi kitu
Wakati nipo na x wife, mtoto wetu alikuwa na 2yrs wa kiume. Wife akanitibua asubuhi tu nikamkunja nikawa nimembananiza na ukuta nimpe makofi, dogo kumbe anaona picha lote, nikampotezea sikutaka purukushani kwa heshi.a ya mtoto.

Nimeenda job nyuma mtoto anamwambia bibi yake. * bibi, baba yangu ana nguvu asubuhi kamkamata mama rohoni anataka kumpiga* huku kanaonyesha kwa vitendo tukio lilivyokuwa. Daa, mpangaji mwenzangu akanipa issue siku ya pili tunapiga pombe mahali, nilijisikia noma sana.

Jamani tuangalie sana hawa watoto wa sasa hivi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shuka halikuwepo. Mnatutia nyege tulio single kwa hizi story zenu
 
Tusivunjiane heshima tafadhali
Alivyoruhusu mtoto kuingia na wewe ukabaki kimya? Bila kuongea kwa sauti usiingie? Au wewe bila kutoka hapo haraka kumzuia mtoto? Basi wewe na mkeo dish linayumba
 
muweke wife kikaangoni, mimba nayo imachangia kuwa hivyo. talk to her
 
Back
Top Bottom