Naona hili linazidi umri wangu

Naona hili linazidi umri wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji26]

ati na maziwa yameninginia



[emoji23][emoji23] kwahyo unahofu mtaanza kuyagombania
Heshima kitu cha bure, usinitafutie ban
 
Kwa hiyo unadhani ni mimbaa ndio imemfanya mkeo akose utu na busara??hajui mtoto kuona uchi wa mzazi ni laana?Anza Ku observe makuzi ya huyo mtoto atakuwa na shida,hamjamtendea haki mtoto kabisa..
Na ndicho kinachoniumiza kichwa
 
Kwa hiyo unadhani ni mimbaa ndio imemfanya mkeo akose utu na busara??hajui mtoto kuona uchi wa mzazi ni laana?Anza Ku observe makuzi ya huyo mtoto atakuwa na shida,hamjamtendea haki mtoto kabisa..

Hivi hii laana ni kwa watoto gani? Maana KE wengi tu wanaoga na binti zao.
 
Mkuu kama mna mtoto mkubwa namna hiyo, na huwa anaingia chumban mara kwa mara kwanini msifunge mlango.

Kama mkeo haelewi piga makofi mawili atakaa sawa, akili za kipuuzi namna hiyo sio za kuzifuga.
 
Sasa Mkuu kama mwenye mke unashindwa ku Control mke wako unafikiri nani ataweza.!???

Wewe bado sio mwanaume,,, huwezi shindwa control mke ndani na bado unajiita mwanaume...

Acha usharobaro.... Maliza hilo kiume... Na wife wako ameshakuona wew kenge tu... Amekupanda kichwani...

Kama hii hadithi sio chai,,, Grow up Men... Unadhalilisha Wanaume.
 
Nimekumbuka mdogo wa mke wa rafiki yangu alienda kuliwa siku moja akamchukua mtoto wa jamaa kama miaka mitano hiv, mtoto kapewa vyepe watu wanakulana mbele yake.

Kurudi mtoto anaelezea anamwambia mama yake " mama, mamdogo alikuwa anagombana na anko kitandani wamepigana wewe, tena bila nguo. Mamdogo alikuwa nanamuuma meno ancko" sasa yuangalie sana kizazi cha sasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli hata watoto wenye ufahamu kidogo ambao bado wanalala na wazazi wao, wakati mwingine huwa wanawaona wazazi wao wakifanya.

Hata mimi kunadogo nilishawahi kumsikia akisema, lakini kwa umri wake alikuwa anaita kile kitendo ni "kubuluzana"[emoji23][emoji23]

Na nadhani hizi memory huwenda zikawa na athari kwa mtoto endapo akikua na kutambua kile alichokiwa akikiona ni kitendo gani.

Hivyo ni vema kwa wazazi kuwa waangalifu na haya mambo.
 
Hivi hii laana ni kwa watoto gani? Maana KE wengi tu wanaoga na binti zao.
Mwanamke anayeoga na mtoto wake Hana akili kabisa!unamuonyeshaje mtoto wako sehemu zako??ndio utaona mtoto ana tabia za ajabuajabu kama wa kiume na yeye ana Anza kutamani awe na ngongingo
 
Mkuu kosa ulilo lifanya ni vile ulifanya sex bila kufunga mlango kwa lock, hata kama ni kwako huwezi kujiajia kiasi hicho ili hari unaishi na binadamu, but pole
 
Back
Top Bottom