Naona hili linazidi umri wangu

Naona hili linazidi umri wangu

Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la.

Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule?

Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
Pole sana
 
Pole sana Mkulungwa kwa huyo mkeo Kukulunga mbele ya Mwanao.
 
Pole ya nini sasa? Unanitafutia ban mzee

Aisee!!, kwani kitendo alichofanya mkeo mbele ya Mwana wenu ni Sawa??--- je hiyo fedheha unayosema umeiipata unatuongopea??!!, kama umefedheheka na tukio hilo je mimi kukupa pole nimekosea??!!.

Kifupi ni kwamba kwa tukio hilo huyo mkeo inaonekana ni mapepe, kwa mtu anayejistahi haiwezekani aslani akaruhusu mtu baki aone jinsi anavyofanya tendo la ndoa sembuse aruhusu Mwanaye wa kumzaa aone!!!?--- huyo mkeo si "mke", mke ni yule anayelinda falagha na heshima ya ndoa nk.

Sasa jiulize kama kaweza kufanya. Jambo hilo mbele ya mwana wenu vipi unapokuwa haupo hapo nyumbani huwa anafanya nini?!!--- si atakuwa anafanya vituko zaidi ya hivyo!!!, mkuu ndio maana nikakupa pole.
 
Ahsante sikukuelewa
 
Nimekumbuka mdogo wa mke wa rafiki yangu alienda kuliwa siku moja akamchukua mtoto wa jamaa kama miaka mitano hiv, mtoto kapewa vyepe watu wanakulana mbele yake.

Kurudi mtoto anaelezea anamwambia mama yake " mama, mamdogo alikuwa anagombana na anko kitandani wamepigana wewe, tena bila nguo. Mamdogo alikuwa nanamuuma meno ancko" sasa yuangalie sana kizazi cha sasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shida tupu, nimesononeka sana kwa tabia hizi za mke wangu
 
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda.

Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa moja nipotee kwa muda au la.

Jana asubuhi by saa 3 tulikuwa tunashiriki tendo, mtoto shule anakwenda saa nne asubuhi kwa mujibu wa ratiba zao. Sasa mimi nipo chini yeye juu, mtoto akapiga hodi bila aibu huyu wife akamuambia sukuma mlango.

Nitamtazama vipi mwanangu kwa hali kama hii? Mbaya zaidi yeye hajali anacheka tu. Mtoto ana miaka 6 najipa moyo huenda hajui kilichokuwa kinaendelea.

Yaani nataka kuinuka ananilalia na mwili wake wote huku anacheka. Yaani mke wangu ananisononesha sana. Mtoto ameona maziwa mpaka shanga za kiunoni za mama yake.

Nimrudishe kwao akajifungulie kule?

Jamani mimi ni mtu mzima ila nimekwama, msaada! Mwenzangu hajui nini maana ya kudhalilika.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😥

ati na maziwa yameninginia

😂😂 kwahyo unahofu mtaanza kuyagombania
 
Back
Top Bottom