Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Pimbi jibu hoja.Kwanini mnateseka?
Pimbi jibu hoja.Kwanini mnateseka?
Umekosa la kusema ukweli mchungu.Duh!.
P
Mkuu hata hao Mabeberu Nchi zao zina maendeleo lakini bado wanadaiwa! Wana fadhili Nchi maskini na bado wanakopeshwa.Unanunua ndege cash bado unawapigia magoti kuomba mikopo
Basi wajinga ni wao kutupa mikopo wakati tunanunua midege kwa cash kwao. Natamani mfike mahali hata msifie kidogo tu. Tutaomba mikopo ili tufanye maendeleo mengine wala sio kununua tena ndege. Furahini hata kidogo tu kuona nchi imefanya hayaUnanunua ndege cash bado unawapigia magoti kuomba mikopo
Yani Ukiirusha Dreamliner Dar to KIA Ni Sawa Sawa Umechukua Basi Kubwa Zile Ziendazo Mikoani UKageuza Daladala.Ndege ina muhimu wake,KIA hadi DIA kwa ndege ya Dreamliner ni dakika 38 tu.sawasawa kutoka Ubungo hadi Posta kwa mwendo kasi.
Karne hii ya 21 sio karne ya Vasco da Gama acha kupotosha.
Basi wajinga ni wao kutupa mikopo wakati tunanunua midege kwa cash kwao. Natamani mfike mahali hata msifie kidogo tu. Tutaomba mikopo ili tufanye maendeleo mengine wala sio kununua tena ndege. Furahini hata kidogo tu kuona nchi imefanya haya
Huwa natamani kujua 'Mabeberu' wanavyotuita sisi.
Kwahyo unataka tufanyeje?Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?
1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.
Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato
Hilo ni tusi sawa na tunavyowaita Mabeberu?Potential market for the next 200 years
Kazi ipo... Mkuu tunapaswa kupongezwa na kujipongeza kwa hayo maendeleo...Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?
1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.
Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato
Wapinzani hatujapinga kila kitu vipo tulivyosifia wewe haujiulizi kwanini iwe ndege tu zinazo lalamikiwa na wananchi hivi wewe uoni ni matumizi mabaya ya kodi zetu rais anavunja katiba anajiamulia tu yeye anavyotaka bila bunge mpaka sasa zimeletwa ndege saba mpaka 2022 inabidi ziwe zimenunuliwa ndege 14 nakuuliza tena hv we uoni kama haya ni matumizi mabaya ya kodi zetuShida Sana hawa watu kila kitu wanapinga? Wanataka nini lakini?
Sasa Karne hii lini watu wananunua ndege kwa cash halafu zinapaki tu airportNdege ina muhimu wake,KIA hadi DIA kwa ndege ya Dreamliner ni dakika 38 tu.sawasawa kutoka Ubungo hadi Posta kwa mwendo kasi.
Karne hii ya 21 sio karne ya Vasco da Gama acha kupotosha.
we wawapi inamaana hujui kua ATCL saiv inafika mpaka MUMBAI