Naona biashara ya Ndege tunaifaidisha Mabeberu, tunanunua ndege, mafunzo, service, mafuta, matairi. Na hazivuki border faida inatoka wapi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?

1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.

Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato
 
Wenyewe wanadai ndege za ATCL zimeongeza idadi ya watalii nchini. Ukiwauliza ni kwa vipi wakati route ya nje ni moja tu hawana jibu!
 
Ndege ina muhimu wake,KIA hadi DIA kwa ndege ya Dreamliner ni dakika 38 tu.sawasawa kutoka Ubungo hadi Posta kwa mwendo kasi.
Karne hii ya 21 sio karne ya Vasco da Gama acha kupotosha.
 
Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?

1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.

Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato

sasa ndege imetengenzwa kwa ujuzi wao, sisi tumeshindwa sasa unacholalamika nn, watu wanawaza ajira uku na kupandishwa mshahara wakati tunapigwa kete sehem kama izi: hakuna wa kumlaumu, kila ndege method ndo izi izi ata nchi zingine ni ivi ivi kwa sababu tumeshindwa kuwaza zaidi ya mishahara na kulilia demokrasia
 
Tanzania Ni Tajiri Sana
Tembeeni Kifua Mbele
Watanzania Wanaweza
---------------------
Haya
Naona Mmeanza Kuleta Moshi Hapa
Hii Ni Kazi Ya Ruangwa!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?

1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.

Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato

umenena vyema
 
Kwa Tanzania hizo ndege zinapiga safari mikoa gani? Nje ya Tanzania zinaenda nchi gani? Kwa wanao fahamu please.
 
Ivi nawaza kama wao wanavyowaza?

1. Tunanunua ndege by cash
2. Wao ndio wanatufundisha kuendesha (training)
3. Wao ndio wanafanya service hapa bongo haipo service bay
4. Wao ndio wanatuuzia vifaa kama matairi na spare parts zote
5. Wao ndio wanatuuzia mafuta ya ndege. Walau ingekuwa inatumia gesi ya mtwara
6. Katika ndege hakuna hata nyuzi tunayotoa tanzania vyote vinatoka kwao.

Jiulize.
1. Ina safari za ndani pekee ambapo Tshs inatumika na hakuna fedha za kigeni
2. Hao watalii wanaosemwa ni wapi?
3. Tunatarajia wateja wetu ni hawa walimu na askari wapande ndege?
4. Au wateja ni wafanyakazi wa serikali hasa watawala wanaolipiwa na taasisi zao. Yaani unatoa mfuko wa kishoto unaweka wa kulia. Unayaita mapato
Unanunua ndege cash bado unawapigia magoti kuomba mikopo
 
Back
Top Bottom