Naombeni ushuuda wa mashine za kutengeneza mkaa

Naombeni ushuuda wa mashine za kutengeneza mkaa

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Mashine ya kutengeneza mkaa inauzwa

Wakuu Nina best yangu ana kama ml 15 hivi nataka kumshauri ananunue mashine kubwa ya kutengeneza mkuu kwa kutumia takataka
Nataka kumshauri anunue
1. Krikuu kwa ajili ya kuuzia na kutafutia takataka
2. Kununulia mashine kubwa
3. Mengine
Wakuu mliowahi kuifanya italipa?
 
Msaada kwa wale waliofanya hii biashara tafadhali
 
Kweli hii kitu inalipa?
 
mkuu hiyo ishu tumefanya mimi na jamaa zangu maeneo ya kibaha. inataka commitment ya hali ya juu.
Kivipi mkuu?
1. Mkaa unalingana na huu mwingine?
2. Watu wanaukubali?
3. Faida katika gunia ni sh ngapi?
4. Uchafu wote unafaa?
5. Kuna wateja wa kutosha?
 
Kivipi mkuu?
1. Mkaa unalingana na huu mwingine?
2. Watu wanaukubali?
3. Faida katika gunia ni sh ngapi?
4. Uchafu wote unafaa?
5. Kuna wateja wa kutosha?

Nimesubiri jibu la swali hili mpaka nimechoka
 
Back
Top Bottom