srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,332
- 4,324
Yaani kwa ufupi ni kwamba mambo sio kama yanavyosemekanaKivipi mkuu?
1. Mkaa unalingana na huu mwingine?
2. Watu wanaukubali?
3. Faida katika gunia ni sh ngapi?
4. Uchafu wote unafaa?
5. Kuna wateja wa kutosha?
1. Sio uchafu tu ndio unatumika kwenye kutengeneza na nnaweza kusema sio uchafu unatumika kutengeneza huo mkaa.
2.Soko lipo ila unatakiwa kutoa elimu kwa wateja wako kwanza na ikiwemo kiwapa mkaa wa bure waende wakajaribu.
3. ukifanikiwa kuzalisha mkaa bora Faida utapata kubwa sana.. faida ni kubwa. ila narudia tena kukwambia kwamba inataka commitment ya hali ya juu. na ni full time job, namaanisha masaa 24..
4. Mkaa ule sio kama huu mkaa wa kawaida ule unawaka kwa muda mrefu sana na pia hauharibu mazingira. inategemea na jinsi utakavyoutengeneza..
samahani kwa kuchelewa kujibu mkuu.