Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani.
Nikawa najiuliza shida ya huyu binti ni nini maana tuseme labda kapenda pesa lakini hata hizo pesa aniombi. Nimejitahidi mara kadhaa kumfanya wife material mambo yamekuwa magumu sasa baada ya wazazi wake kujua binti yao ana ujauzito wakataka niende nikaenda nikawambia huyu mimi nataka kumuoa wakasema sawa.

Ila moyoni najiuliza maswali memgi ni vipi nitaishi na mwanamke yule ambae aoneshi kunipenda.

Bac bwana leo kuna rafiki yake akaamua kunieleza ukweli kuwa yule binti alikuwa na mwanaume wa kiislamu ila kwa sababu ya dini kuwa tofauti wazazi wake na binti wakakataa.
Binti alimbebea jamaa ujauzito mara mbili mama ake na binti kazitoa zote ila bado binti akaendelea kufosi ndoa na jamaa, wazazi wakaona bac tuwaache waendelee japo kishingo upande jamaa akaleta kishika uchumba sa sijui ikawaje mwamba akapotea tena.

Bac ndio mimi nikaanza kudate na binti mpaka nikampa ujauzito sasa ndio mshkaji akarudi tena anamuita manzi magetoni dem anashindwa kwenda sababu tayari ana ujauzito wangu japo kule kwa jamaa ndio upendo upo bac juz tena nikaitwa na mama mkwe nikaenda nikamueleza changamoto za mwanae kuwa kuna kila dalili huyu binti akupenda nimuoe ila anafosi kwasababu ya ujauzito wangu ambao hapo awali pia alishajaribu kuutoa ukashindikana.

Nikamwambia mama yake kuwa mimi siwez owa mtu ambae anipendi hivyo maswala ya kuleta barua tuachane nayo kwanza.

Sasa ndugu zangu wanaume wenzangu em nishaurini nifanye nini binti nampenda ila yeye anampenda mtu mwingine na mbaya zaidi anaujauzito wangu ambao hapo awali kapambana sana kuutoa ukamshinda et saiv anataka kuishi namimi wakati najua kabisa hakuwa na malengo namimi ila anafanya hivo sababu ya shinikizo la mimba. Mimba ina miez mitatu sasa tutaileaje ikiwa sisi wenyewe atuelewani na binti yupo na kiburi heavy weight. Akili yake yote ipo kwa mshkaji so mimi binafsi nimejikuta kumchukia hata huo ujauzito sitaki kujua utafika wapi sababu juzi nilipeleka pesa ya matumiz akanijibu ovyo nikaondoka. Kifupi binti hana hisia namimi hata chembe.
hata huo ujamimba sio wako dogo, potea kabisa.....jamaa analishwa wewe unakula mwenyewe.....chagua mwenyewe moto wa gesi au petrol, upi tukuchome nao.?
 
Huyu manzi unaemzungumzia ndo yule ambae ulisema ni mtoto wa elf 2 alafu mzuri, ila anakuomba sana hela, alikuacha baada ya kuona unamnyima ela, ila baada ya miezi 3 akakurudia tena? Melancholic
 
Nikawa najiuliza shida ya huyu binti ni nini maana tuseme labda kapenda pesa lakini hata hizo pesa aniombi. Nimejitahidi mara kadhaa kumfanya wife material mambo yamekuwa magumu sasa baada ya wazazi wake kujua binti yao ana ujauzito wakataka niende nikaenda nikawambia huyu mimi nataka kumuoa wakasema sawa.
Sasa hata mizagamuwano mlifanyaje kama ushirikiano ni zero au alikuwa anakucheki tuu!
 
Hili janga liliingia kwenye family yetu,

Ee jamani lisitutokee tena,,,

Uzuri sisis wenyewe tuna shida na watoto,hatukumuita kijana wa mtu kumkabidhi majukumu,,aisee mtoto amezaliwa beautiful girl rangi ya mtume, dimples hicho zuriii,

Uzuri mtoto kafanana na baba yake.
 
Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani.
Nikawa najiuliza shida ya huyu binti ni nini maana tuseme labda kapenda pesa lakini hata hizo pesa aniombi. Nimejitahidi mara kadhaa kumfanya wife material mambo yamekuwa magumu sasa baada ya wazazi wake kujua binti yao ana ujauzito wakataka niende nikaenda nikawambia huyu mimi nataka kumuoa wakasema sawa.

Ila moyoni najiuliza maswali memgi ni vipi nitaishi na mwanamke yule ambae aoneshi kunipenda.

Bac bwana leo kuna rafiki yake akaamua kunieleza ukweli kuwa yule binti alikuwa na mwanaume wa kiislamu ila kwa sababu ya dini kuwa tofauti wazazi wake na binti wakakataa.
Binti alimbebea jamaa ujauzito mara mbili mama ake na binti kazitoa zote ila bado binti akaendelea kufosi ndoa na jamaa, wazazi wakaona bac tuwaache waendelee japo kishingo upande jamaa akaleta kishika uchumba sa sijui ikawaje mwamba akapotea tena.

Bac ndio mimi nikaanza kudate na binti mpaka nikampa ujauzito sasa ndio mshkaji akarudi tena anamuita manzi magetoni dem anashindwa kwenda sababu tayari ana ujauzito wangu japo kule kwa jamaa ndio upendo upo bac juz tena nikaitwa na mama mkwe nikaenda nikamueleza changamoto za mwanae kuwa kuna kila dalili huyu binti akupenda nimuoe ila anafosi kwasababu ya ujauzito wangu ambao hapo awali pia alishajaribu kuutoa ukashindikana.

Nikamwambia mama yake kuwa mimi siwez owa mtu ambae anipendi hivyo maswala ya kuleta barua tuachane nayo kwanza.

Sasa ndugu zangu wanaume wenzangu em nishaurini nifanye nini binti nampenda ila yeye anampenda mtu mwingine na mbaya zaidi anaujauzito wangu ambao hapo awali kapambana sana kuutoa ukamshinda et saiv anataka kuishi namimi wakati najua kabisa hakuwa na malengo namimi ila anafanya hivo sababu ya shinikizo la mimba. Mimba ina miez mitatu sasa tutaileaje ikiwa sisi wenyewe atuelewani na binti yupo na kiburi heavy weight. Akili yake yote ipo kwa mshkaji so mimi binafsi nimejikuta kumchukia hata huo ujauzito sitaki kujua utafika wapi sababu juzi nilipeleka pesa ya matumiz akanijibu ovyo nikaondoka. Kifupi binti hana hisia namimi hata chembe.
piga chini usigeuke nyuma ,vinginevyo utakuja kujuta maana lazima atakuacha hata kama ni baada ya miaka kadhaa, hata kama hataolewa na huyo jamaa. Usilazimishe kupenda
 
Mleta mada fuata huu ushauri,

Kumbe Mawardat umebadili user name.

Seran ephen_ Joanah
Nimejizuia kucomment kwenye huu uzi tokea asubuhi nilipousoma.
Mkasa wake umenikumbusha mimi kabisa.

Kuna watu kwenye uchumba hawafanyi kitu ila kwenye ndoa wanafanya kila kitu.

Ni kama slogan ya wanaume usimhudumie mwanamke asiye mke wako.
 
Huyu manzi unaemzungumzia ndo yule ambae ulisema ni mtoto wa elf 2 alafu mzuri, ila anakuomba sana hela, alikuacha baada ya kuona unamnyima ela, ila baada ya miezi 3 akakurudia tena? Melancholic
Sio huyo mkuu yule niliishacha mazima hii chuma ingine
 
Hili janga liliingia kwenye family yetu,

Ee jamani lisitutokee tena,,,

Uzuri sisis wenyewe tuna shida na watoto,hatukumuita kijana wa mtu kumkabidhi majukumu,,aisee mtoto amezaliwa beautiful girl rangi ya mtume, dimples hicho zuriii,

Uzuri mtoto kafanana na baba yake.
Ilikuwaje mkuu huyo mwenye tatzo alikuwa nani hapo
 
Back
Top Bottom