Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,722
- 16,068
ikiwezekana achana nao.....Kwahiyo mkuu hata huo ujauzito niachane nao
ikiwezekana achana nao.....Kwahiyo mkuu hata huo ujauzito niachane nao
Shukran kakaKumuacha unae mpenda kwenda kwa anae mpenda huo pia ni Upendo wadhati:,Nirahisi mwanaume kuishi na mwanamke asie mpenda ikiwa mwanamke ata mpenda mwanaume kuliko mwanamke kuishi na mwanaume asie mpenda,Lea mimba then mtoto achana nakuoa mke wamtu
Kabisa mkuu nawaza kuachana na kila kitu hata hiyo mimba sitaki kujuaAchana naye si ajabu hata hiyo mimba si yako aliweka tu drama za kujidai anaitoa kumbe uongo mtupu, kiufupi hapo ni kama una force kuwa na mke wa mtu
Daah kaka acha tu nimepitia mateso makubwa sana kwa huyo binti sasa swala la ujauzito vp mkuuAchana nae haraka sana moyo wake haupo kwako.
Atakutesa sana kama mtu hata kufanya usafi hawezi hapo hamna make .
Hatua ipi mkuuMisioni cha kukushauri hapo mkuu, kilicho baki ni wewe tu kuchukua hatua.
Nilishaongea nae anajifanya ataki kutoaKutoa mimba ni rahisi sana sikuhizi, ongea nae atoe hiyo mimba kabla hujaanza kutoa laana kwa single mothers wote
Sawa mkuu shukranAkuzalie, akiwa wa kiume itakuwa unyama, alee mtoto mpaka umri fulani, akuachie mtoto, akaolewe huko anapotaka
Kaka huo ushauri ni kwa ajilo ya mtoto na sio huyo bintiMwanamke alishawahi kubeba ujauzito wa mwanaume mmoja mara mbili Yani 1+1=2 aiseeee na unaona Hana ukaribu na wewe Bado unataka ushauri??? Hebu tuhamie kuisapoti CCM ibaki madarakani mwaka 2030 achana na mapenzi
Shukran na ndivyo nimewaza kufanyaikiwezekana achana nao.....
Yeah that's for sure bloodUkimuoa utakua mjinga wa mwisho. Inatakiwa uoe mtu aliyepondeka nafsi kwako ambae atawesa kuishi nawe at any coast
Kuhusu mimba subiri ajifungue baada ya hapo unalea mtoto akifika miaka hata 7 unamchukua mtoto. Lakin ulisema umuoe huyo ni hatariDaah kaka acha tu nimepitia mateso makubwa sana kwa huyo binti sasa swala la ujauzito vp mkuu
Anataka matunzo ya mimba na mbaya zaidi ananiomba kama vile ni lazima au nilimwambia abebe huo ujauzito na vilevile alikuwa anataka kuutoa zamani tuuKuhusu mimba subiri ajifungue baada ya hapo unalea mtoto akifika miaka hata 7 unamchukua mtoto. Lakin ulisema umuoe huyo ni hatari
Hudumia ujauzito Hadi mtoto atakapozaliwa maana mimba huwa haikimbiwi ila mtoto anakimbiwa kama ukiona sura haielekei kama zile za kwenye ukoo wenu🥹🥹Kaka huo ushauri ni kwa ajilo ya mtoto na sio huyo binti
MakubwaAnataka matunzo ya mimba na mbaya zaidi ananiomba kama vile ni lazima au nilimwambia abebe huo ujauzito na vilevile alikuwa anataka kuutoa zamani tuu