Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,918
- 5,523
Angalia usifirisiwe hiyo boda boda ya marejesho
Sio elimu, ni akili ndogoNyie vilaza ndo mnatumiwa na wanasiasa na elimu zenu ndogo
Umesema ni 23 kwa 32,sivyo?Chukua hiyo 2 yako iliyo mwanzo uiweke mbele ya tatu itakuwa 32.Mtakuwa sawa bin sawia na shida imejifia yenyewe natural death! Hallelujah!Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Apo fresh haina Madhara atakulea vizurNaombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Apostle kuna muujiza hukuu.. Imekuwaje.Umesema ni 23 kwa 32,sivyo?Chukua hiyo 2 yako iliyo mwanzo uiweke mbele ya tatu itakuwa 32.Mtakuwa sawa bin sawia na shida imejifia yenyewe natural death! Hallelujah!
Apewe mic na aseme nani kamponya?Apostle kuna muujiza hukuu.. Imekuwaje.
Mtu kapokea muujiza wa kukua ghafla kutoka miaka 23 hadi 32 ...
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Hahahaha acha upuuzi, bado tu mpaka leo unalingia cheo na nafasi aliyopo baba yako? Sasa kama unadhani kwa cheo chako na nyadhifa ya baba yako hamna kitu unaweza fanywa mbona unakuja kutulalamikia humu kuhusu kusumbuliwa na huyo mdada?Mim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Au sio mwanetuMim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Mimi sio maskini kama wewe boda kwenu ndio kipaombeleAngalia usifirisiwe hiyo boda boda ya marejesho
Ni ushauri mwepesi tuMimi sio maskini kama wewe boda kwenu ndio kipaombele
Subiri utamuacha tu kwa maumivu makali sana zaidi ya unayofikiria kuyapitia kwa sasa...Naombeni ushauri